A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Friday, April 12, 2019

Wanafunzi wanaosoma kwa ufadhili wa NBC wanolewa

Mkufunzi kutoka taasisi ya Elevate Education ya Afrika Kusini, Yolisa Motha (kulia) akizungumza na baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Uhifadhi Cha Wanyamapori (MWEKA) wanaosoma kwa Ufadhili wa Benki ya NBC wakati wa Mafunzo ya kuwaandaa kimasomo na katika stadi nyingine za kielimu na kimaisha yaliyoandaliwa na benki hiyo, Moshi,  Mkoani Moshi hivi karibuni.
Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter (kushoto) akizungumza na Wanafunzi wa Chuo Cha Uhifadhi  Wanyamapori (MWEKA) wanaosoma kwa Ufadhili wa Benki ya NBC wakati wa Mafunzo ya kuwaandaa kufaulu masomo pamoja na ujuzi mwingine wa kimaisha yaliyoandaliwa na benki hiyo Mkoani Moshi, Mkoani Kilimanjaro hivi karibuni.

Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Cha  Uhifadhi Wanyamapori (MWEKA) wakiwa katika mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Benki ya NBC kwa kushirikiana na taasisi ya Elevate Education mjini Moshi hivi karibuni.
Mkuu wa Chuo cha Uhifadhi Wanyama pori, Prof.Jaffari Kideghesho (kulia) akizungumza na Wanafunzi wa Chuo Uhifadhi Cha Wanyamapori (MWEKA) wanaosoma kwa Ufadhili wa Benki ya NBC wakati wa Mafunzo ya kuwaandaa kimasomo na katika stadi nyingine za kielimu na kimaisha yaliyoandaliwa na benki hiyo  Moshi, Kilimanjaro hivi karibuni. 

Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter (Wa nne Kushoto, aliyevaa miwani) na Mkufunzi kutoka taasisi ya Elevate Education ya Afrika Kusini, Yolisa Motha (kushoto kwa Irene), wakiwa katika picha ya pamoja na  wanafunzi wa Chuo cha Uhifadhi Wanyamapori (MWEKA) baada ya mafunzo hayo mjini Moshi, Kilimanjaro hivi karibuni.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive