A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Thursday, December 5, 2019

Benki ya NBC yatoa mafunzo kwa wafanyabiashara jijini Dar.

Mkuu wa Kitengo cha Wafanyabiashara wa Kati na Wadogo wa Benki ya NBC, Evance Luhimbo akizungumza na wafanyabiashara  wadogo na wa kati wa maeneo ya Kariakoo, katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na benki hiyo kwa lengo la kuwawezesha kimafunzo yatakayosaidia katika ukuaji wa biashara zao jijini Dar es Salaam jana.
Meneja Maendeleo ya Viwanda wa Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), Patrick Magai akitoa elimu kuhusu fursa za viwanda katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na benki ya NBC kwa wateja wake wafanyabiashara wadogo na wa kati wa maeneo ya Kariakoo jana.
Msaidizi wa Msajili Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), George Chuwa akizungumza katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na benki ya NBC kwa wateja wake wafanyabiashara wadogo na wa kati wa maeneo ya Kariakoo jiijini Dar es Salaam jana.

Ofisa Msimamizi wa Walipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Joyce Ng`oja akitoa elimu kuhusu kodi katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na benki ya NBC kwa wateja wake wafanyabiashara wadogo na wa kati wa maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam jana.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Guru Planet, Nickson Martin akitoa elimu kuhusu uhifdhi wa bidhaa katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na benki ya NBC kwa wateja wake wafanyabiashara wadogo na wa kati wa maeneo ya Kariakoojiji jijini Dar es Salaam jana.

Mkurugenzi wa Biashara wa NBC, Elvis Ndunguru (wa pili kushoto), akizungumza jambo na wafanyabiashara wadogo na wa kati wa maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam wakati wa semina iliyoandaliwa na benki hiyo yenye lengo la kuwawezesha kimafunzo kuhusu ukuaji wa biashara zao jijini humo jana.

Mkurugenzi wa Biashara wa NBC, Elvis Ndunguru (kushoto), akizungumza na wafanyabiashara wadogo na wa kati wa maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam katika semina ya siku moja yenye lengo la kuwawezesha kimafunzo kuhusu ukuaji wa biashara zao, masuala ya kodi, mitaji na taratibu nyingine za uendeshaji wa biashara jijini  Dar es Salaam jana.

Mkuu wa Kitengo cha Wafanyabiashra wa Kati na Wadogo wa Benki ya NBC, Evance Luhimbo (kushoto), akizungumza na wafanyabiashara wadogo na wa kati wa maeneo ya Kariakoo  katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na benki hiyo kwa lengo la kuwawezesha kimafunzo kuhusu ukuaji wa biashara, masuala ya mitaji, kodi na jinsi nyingine ya kuendesha biashara jijini Dar es Salaam jana.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive