Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo fleve wanaounda kundi la NAVY KENZO Emmanuel Mkono pamoja na Aika Marealle ambao ni Mabalozi wa Visa, wakipiga picha ya pamoja na mmoja ya wateja na familia yake alipokwenda kufanya manunuzi kwakutumia kadi ya Visa katika maduka yaliyopo katika jengo Msasani Mall jijini Dar es Salaam leo. ambapo mteja aliweza kulipiwa nusu ya gharama ya manunuzi yake na mabalozi hao
Balozi wa VISA kadi ambae ni msanii wa musiki wa kizazi kiPya anaeunda kundi la NAVY KENZO Emmanuel Mkono almaarufu kama Nahreel (kulia), akionesha kadi yake ya Visa ambayo mteja anaweza kuitumia kufanya manunuzi badala yakutembea na pesa mkononi anaweza kutumia kadi hiyo (katikati), ni msanii wa kundi hilo pamoja na mteja anaetumia kadi ya Visa kufanya manunuzi
Balozi wa VISA kadi ambae ni msanii wa muziki wa kizazi kipya anaeunda kundi la NAVY KENZO Emmanuel Mkono almaarufu kama Nahreel (kushoto),akifanya kwakutumia kadi yake ya Visa kwakumlipia Evetha Sebastian (kulia), ambae huwa anatumia kadi yake ya visa kufanya manunuzi (katikati), ni msanii wa kundi hilo ambaye pia ni Balozi wa Visa Aika Marealle
Balozi wa VISA kadi ambae ni msanii wa muziki wa kizazi kipya anaeunda kundi la NAVY KENZO Emmanuel Mkono almaarufu kama Nahreel (kushoto), akifafanua jambo juu ya matumizi ya Visa kadi kwa Mteja anaetumia kadi hiyo kufanya manunuzi, Hussein Bashiru (katikati) mwengine pichani ni Balozi wa Visa Balozi ambae ni mmoja ya wasanii wa kundi la NAVY KENZO Aika Marealle PICHA ZOTE NA Brian Peter
0 comments:
Post a Comment