A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Thursday, April 4, 2019

DCB YATANGAZA KUVUKA MALENGO UUZAJI WA HISA ZAKE

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji, akizungumza katika hafla ambayo Benki ya Biashara ya DCB ilitangaza matokeo ya zoezi la uuzaji wa hisa zake ziliouzwa kuanzia Novemba 12, 2018 hadi Januari 31 mwaka huu. DCB imetangaza kufanikiwa kuuza hisa 36,635,435 ikilinganishwa na hisa 33,913,984 zilizotarajiwa kuuzwa ikiwa ni sawa na asilimia 108. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dodoma leo.

Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Prof. Lucian Msambichaka, akizungumza katika hafla ambayo benki hiyo ilitangaza matokeo ya zoezi la uuzaji wa hisa zake ziliouzwa kuanzia Novemba 12, 2018 hadi Januari 31 mwaka huu. DCB imetangaza kufanikiwa kuuza hisa 36,635,435 ikilinganishwa na hisa 33,913,984 zilizotarajiwa kuuzwa ikiwa ni sawa na asilimia 108. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dodoma leo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa akizungumza katika hafla ambayo benki hiyo ilitangaza matokeo ya zoezi la uuzaji wa hisa zake ziliouzwa kuanzia Novemba 12, 2018 hadi Januari 31 mwaka huu. DCB imetangaza kufanikiwa kuuza hisa 36,635,435 ikilinganishwa na hisa 33,913,984 zilizotarajiwa kuuzwa ikiwa ni sawa na asilimia 108. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dodoma leo.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (katikati), Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya DCB, Prof. Lucian Msambichaka (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto), wakipiga picha ya kumbukumbu na baadhi ya wanahisa waliohudhuria hafla hiyo.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (katikati), Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya DCB, Prof. Lucian Msambichaka (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto), wakipiga picha ya kumbukumbu na baadhi ya wabunge na wageni wengine waalikwa waliohudhuria hafla hiyo.
Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea (kulia), akizungummza na Mkuu wa Masoko wa Mawasiliano wa DCB, Rahma Ngassa (wa pili kushoto) pamoja na wageni wengine waalikwa katika hafla hiyo.


Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (katikati), akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya DCB, Prof. Lucian Msambichaka (kulia), mara baada ya kumalizika kwa tukio hilo. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Tumbatu, Juma Othman Hija, Mbunge wa Kinondoni, Maulidi Mtulya na Mkurugenzi Mtendaji wa DCB, Godfrey Ndalahwa.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive