Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Mhandisi Ben Lema (kulia),akikabidhi msaada wa mifuko 200 ya saruji yenye thamani ya shs 2,139,000 kwa Kamishna wa Polisi Mkoa wa Tanga, Leonce Rwengazira (kushoto), iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa nyumba za polisi Wilaya ya Kilindi mkoani humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika kiwandani hapo Pongwe, Tanga, juzi. Wengine ni maofisa wa kampuni hiyo pamoja na wa kutoka jeshi la polisi.
Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Bi. Mtanga Noor (kushoto), akikabidhi msaada wa mifuko 200 ya saruji yenye dhamani ya shs 2,139,000 kwa Kamishna wa Polisi Mkoa wa Tanga, Leonce Rwengazira (kulia), iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa nyumba za polisi Wilaya ya kilindi mkoani humo. Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika kiwandani hapo Pongwe Tanga jana. wengine picha ni maofisa wa kampuni hiyo pamoja na maofisa kutoka katika jeshi la polisi.
Mkuu wa Rasilimali watu wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Diana Malambugi(kushoto),akikabidhi msaada wa mifuko 200 ya saruji yenye thamani ya shs 2,139,000 kwa Kamishna wa Polisi Mkoa wa Tanga, Leonce Rwengazira (kulia), iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa nyumba za polisi Wilaya ya Kilindi mkoani humo. Hafla ya makabidhiano imefanyika kiwandani hapo Pongwe, Tanga, juzi wengine ni maofisa wa kampuni hiyo pamoja na kutoka jeshi la polisi.
Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Mhandisi Ben Lema (watatukushoto), akizungumza jambo kwa Kamishna wa Polisi Mkoa wa Tanga Leonce Rwengazira, katika hafla hiyo.
Ofisa Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Hellen Maleko (katikati), akiongozana na Maofosa wa Polisi baada ya makabidhiano
0 comments:
Post a Comment