A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Tuesday, April 2, 2019

Barclays yaitikia wito wa BoT, yafungua duka la kubadilishia fedha za kigeni


Mkurugenzi Kitengo cha Mauzo ya Fedha za Kigeni wa  Benki ya
Barclays Tanzania, Esther Maruma (katikati), akizungumza na waandishi
wa habari, Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa duka la
kubadilishia fedha za kigeni la benki hiyo. Wengine  kushoto ni, Mkuu
wa Masoko na Mawasiliano, Aron Luhanga na Mkuu wa Kitengo cha Wateja
Binafsi, Oscar Mwamfwagasi.


Mkuu wa Kitengo cha  Wateja Binafsi wa Benki ya Barclays Tanzania,
Oscar Mwamfwagasi (mbele kulia), akizungumza na waandishi wa habari,
Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa duka la kubadilishia fedha za
kigeni la benki hiyo. Kulia kwake ni  Mkurugenzi wa Kitengo cha Mauzo
ya Fedha za Kigeni, Esther Maruma na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano,Aron Luhanga.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Mauzo ya Fedha za Kigeni wa  Benki ya
Barclays Tanzania, Esther Maruma (wa pili kulia), akishikana mikono na
Meneja  Mauzo wa Hoteli ya Serena, Shaban Kaluse wakati wakizindua
rasmi duka la kubadilishia fedha za kigeni la benki hiyo  jijini Dar
es Salaam jana. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi, Oscar
Mwamfwagasi na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Barclays, Aron

Luhanga.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive