A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Wednesday, April 10, 2019

Benki ya NBC yaunga mkono juhudi za utendaji bora jeshi la polisi

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa (kushoto), akishikana mikono na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi wakati akipokea msaada wa pikipiki saba zilizotolewa na Benki ya NBC zitakazotolewa kama motisha kwa askari wa ngazi za chini  wa jeshi hilo wanaotekeleza kwa ufanisi majuku yao ya kila siku. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. .  

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa (kushoto), akizungumza kabla ya kupokea msaada wa pikipiki saba zilizotolewa na Benki ya NBC zitakazotolewa kama motisha kwa askari wa ngazi za chini  wa jeshi hilo wanaotekeleza kwa ufanisi majuku yao ya kila siku. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.  

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kukabidhi pikipiki saba kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazoro Mambosasa zitakazotolewa kama motisha kwa askari wa ngazi za chini  wa jeshi hilo wanaotekeleza kwa ufanisi majuku yao ya kila siku. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo.  

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa wa tano (kushoto), akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi mara baada ya kupokea msaada wa pikipiki saba zilizotolewa na benki hiyo zitakazotolewa kama motisha kwa askari wa ngazi za chini  wa jeshi hilo wanaotekeleza kwa ufanisi majuku yao ya kila siku. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Wengine ni baadhi ya maofisa wa ngazi za juu wa NBC na kutoka jeshi la polisi walishuhudia makabidhiano hayo.  
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive