Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor (kushoto) akizungumza katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 7,965,000 kwa ajili ya kuboresha miundo mbinu ya elimu mkoani Singida. Hafla ya makabidhiano ilifanyika kiwandani hapo Pongwe jijini Tanga jana. Wa pili kushoto ni Meneja Kiwanda wa kampuni hiyo, Mhandisi Ben Leman a Mbunge wa Viti Maalumu wa Singida, Aysharose Mattembe na wafanyakazi wa Tanga Cement.
Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Saruji Tanga Cement, Mhandisi, Ben Lema (kushoto) akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Singida Aysharose Mattembe katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 7,965,000 kusaidia ukarabati wa madarasa pamoja na nyumba za walimu katika mkoa wa Singida Halfa hiyo ilifanyika kiwandani hapo, Tanga jana. Wa pili kulia ni Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor.
Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Tanga Cement, Mhandisi Ben Lema (kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 600 ya saruji kwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 7,965,000 kusaidia ukarabati wa madarasa pamoja na nyumba za walimu katika mkoa wa Singida. Hafla hiyo ilifanyika kiwandani hapo, Pongwe, Tanga jana. Wengine ni maofisa wa kampuni hiyo.
Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 600 ya saruji kwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 7,965,000 kusaidia ukarabati wa madarasa pamoja na nyumba za walimu katika mkoa wa Singida. Hafla hiyo ilifanyika kiwandani hapo Pongwe, Tanga jana. Wengine ni maofisa wa kampuni hiyo.
Meneja Usambazaji wa Kampuni ya Tanga Cement, Samuel Shoo (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 600 ya saruji kwa Mbunge wa Viti Maalum singida Aysharose Mattembe, katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 7,965,000 kusaidia ukarabati wa madarasa pamoja na nyumba za walimu katika mkoa wa Singida Hafla hiyo ilifanyika kiwandani hapo pongwe jijini Tanga jana. Wa tatu kushoto ni Meneja Kiwanda wa Tanga Cement, Mhandisi Ben Lema na kulia ni Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa kampuni hiyo, Bi. Mtanga Noor pamoja na baadhi ya wafanyakazi wenzao.
Mmoja wa wahasibu wa Kampuni ya Tanga Cement, Kalutu Juma, akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 600 ya saruji kwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe (wa pili kulia), katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 7,965,000 kusaidia ukarabati wa madarasa pamoja na nyumba za walimu katika mkoa huo. Hafla hiyo ilifanyika kiwandani hapo Pongwe, Tanga jana. Wengine ni maofisa wa kampuni hiyo.
0 comments:
Post a Comment