Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga Cement, Lawrence Masha akishikana mikono na Mbunge wa zamani wa Geita, Dk. Fortunatus Masha kabla ya kukabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji kwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Yanga Makaga (kulia), iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana ya Shule ya Sekondari Nyamatongo iliyo wilayani humo mkoani Mwanza juzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga Cement, Lawrence Masha ( wa pili kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 600 ya saruji kwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Yanga Makaga, iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana ya Shule ya Sekondari Nyamatongo.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Yanga Makaga (kulia), akishikana mikono na Mbunge Mstaafu wa Geita, Dk Fortunatus Masha (kushoto), katika hafla ambayo Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga Cement, Lawrence Masha (katikati), alikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 10 kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana ya Shule ya Sekondari Nyamatongo iliyopo wilayani Sengerema, Mwanza hivi karibuni.
Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor (kushoto) akizungamza katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 10 kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana katika Shule ya Sekondari Nyamatongo wilayani Sengerema mkoani Mwanza juzi.
Meneja Mauzo Taifa wa Kampuni ya Tanga Cement, Leslie Massawe (kushoto) akizungumza katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 10 kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana katika Shule ya Sekondari Nyamatongo wilayani Sengeremea mkoani Mwanza juzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Tanga Cement, Lawrence Masha (kushoto) akizungumza katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 10 kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana katika Shule ya Sekondari Nyamatongo wilayani Sengerema mkoani Mwanza juzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Tanga Cement, Lawrence Masha (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya na Maji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Enock Ndekeja katika hafla ambayo kampuni hiyo ilikabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji yenye thamani ya shs milioni 10 kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana katika Shule ya Sekondari Nyamatongo jijini Mwanza juzi. Katikati ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema,Yanga Makaga. Halfa hiyo ilifanyika shuleni hapo, Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza juzi.
0 comments:
Post a Comment