Mmoja ya waratibu wa programu ya Wajibika ya
Benki ya NBC, Michael Mwangoka (kushoto), akizungumza na baadhi ya
vijana na wanafunzi katika viwanja Leaders, Dar es Salaam juzi kuhusu
Programu ya Wajibika yenye
lengo la kuwaandaa vijana na wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu
ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi.
Mmoja ya waratibu wa programu ya Wajibika ya
Benki ya NBC, Debora Maboya (kulia), akizungumza na baadhi ya vijana
katika viwanja Escape One, jijini Dar es Salaam kuhusu Programu ya Wajibika yenye
lengo la kuwaandaa vijana na wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu
ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi.
Mmoja ya waratibu wa programu ya Wajibika ya
Benki ya NBC, Michael Mwangoka (kulia), akizungumza na baadhi ya vijana
katika viwanja Leaders, Dar es Salaam kuhusu Programu ya Wajibika. Program ya Wajibika ya NBC yenye
lengo la kuwawezesha vijana wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu
ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi ilizinduliwa Julai 8
mwaka jana.
Mmoja ya waratibu wa programu ya Wajibika ya
Benki ya NBC, Imani Sinkonde (kushoto), akitoa maelezo jinsi ya
kujiunga kwa njia ya mtandao na program ya Wajibika ya Benki ya NBC
kupitia tovuti ya benki hiyo kwa baadhi ya vijana katika viwanja vya
Escape One, Dar es Salaam. Programu ya Wajibika ina
lengo la kuwaandaa vijana na wahitimu wa vyuo vikuu na taasisi za elimu
ya juu kuingia katika soko la ajira rasmi na binafsi.
0 comments:
Post a Comment