Waziri wa Habari sanaa utamaduni na michezo Dk Harrison Mwakyembe (kushoto),Akikabidhi kombe kwa nahodha wa timu ya soka ya Diamond Trust Benki (DTB), David Kikambako baada ya timu hiyo kuibuka kidedea kwakuichakaza timu ya benki ya Exim kwa mikwaju ya penati katika mchezo wa fainali ya ligi ya mabenki iliyopewa jina la brazuka kibenki, wa katikati ni Mratibu na Muanzilishi wa ligi hiyo Nasikiwa Berya.
Waziri wa Habari sanaa utamaduni na michezo Dk Harrison Mwakyembe akishangilia pamoja na wachezaji wa benki hiyo kushoto kwa Waziri ni Mratibu na Muanzilishi wa ligi hiyo Nasikiwa Berya.
Wachezaji wa DTB wakifurahia ushindi huku wamembeba kocha wao Michael Lugalela
Timu ya Exim ambayo imeshika nafasi ya pili katika michuano hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja wakionesha zawadi zao
0 comments:
Post a Comment