Meneja Masoko Airtel Tanzania Aneth Muga, akitoa Maelezo wakati wa mkutano na watangazi wa radio mbalimbali nchini kuhusu ongezeko la faida za
mteja katika huduma za intaneti zinazotolewa na Airtel kupitia bando mpya za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ .
Baadhi ya watangazaji wa radio mbalimbali nchini wakifuatilia mada kwa umakini wakati wa mkutano
na watangazi wa radio mbalimbali nchini na
Airtel kuhusu ongezeko la faida za mteja katika huduma za intaneti
zinazotolewa na Airtel kupitia bando mpya za ‘SMATIKA na Yatosha
Intaneti’
Kampuni
ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania imekutana na watangazi wa radio
mbalimbali nchini na kuongelea ongezeko la faida za mteja katika
huduma za intaneti
zinazotolewa na Airtel kupitia kuzinduliwa kwa bando mpya za ‘SMATIKA
na Yatosha Intaneti’ zilizozinduliwa mwanzoni mwa wiki hii kwa lengo
lengo la kuwapatia wateja na watumiaji wote wa intaneti bando nafuu
zaidi.
Meneja
Masoko Airtel Tanzania Anethy Muga alieleza kuwa bando Mpya ya ‘SMATIKA
na Yatosha Intaneti’ zinatoa uhuru kwa wateja wote kujichagulia bando
la intaneti KABAMBE
wakati wowote, na kusisitiza kuwa mteja wa Airtel ataweza kunufaika na
SMATIKA na Yatosha Intaneti kwa kujipatia bado za gharama nafuu ya hadi
shilingi 200 na kupata MB 40. Vilevile ofa kabambe ya ‘SMATIKA Yatosha
bando’ itamuwezesha mteja wa AirtelKUSMATIKA
NA 1GB ya Yatosha Intaneti kwa siku tatu mfululizo kwa shilingi elfu mbili tu”
kwa
upande wake Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando alisema “Yatosha
mpya inakupa bado za siku, wik, mwezi gharama nafuu kuliko zote nchini,
kwa mfano bado
ya 5,000 zamani ilikuwa na GB 1, kwa sasa Yatosha Intaneti Mpya
unapata GB 2 kwa siku 7, vile vile kwa shilingi 10,000 zamani ulikuwa
unapata bando la GB 2.5 kwa siku 7 lakini sasa tumeliongeza zaidi
unapata GB 6 zakutumia wiki nzima. Alieleza Muga
“SMATIKA
na Yatosha Intaneti’ ni ishara ya Airtel kuanza vyema shamrashamra
kusherehekea sikukuu kwa kuwapatia uhakika wateja na watumiaji wa
huduma ya intaneti
wa kutoishiwa bando kwa muda mfupi,
Ukiwa na Airtel Yatosha Intaneti hainaga kuzima data tena!” Alisisitiza Mmbando.
0 comments:
Post a Comment