Mwenyekiti wa Bodi ya Tanga Cement, Lawrence Masha akishikana mikono na Mbunge wa zamani wa Geita, Dk. Fortunatus Masha kabla ya kukabidhi msaada wa mifuko 600 ya saruji kwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema, Yanga Makaga (kulia), iliyotolewa na kampuni hiyo...
Friday, December 29, 2017
Sunday, December 24, 2017
Rose Muhando awafungukia wanao msema kuhusu kujiunga na CCM

Msanii wa muziki wa Injili nchini Tanzania, Rose Muhando ameamua kufunguka ya moyoni baada ya kupokea maoni mengi ya watu wakimponda kuhusu maamuzi yake ya kujiunga na Chama cha Mapinduzi.Rose Muhando amesema wanaomponda na kumkebehi anawachukulia ni watu wa kawaida kwani...
Mwanamke Amfungia Mumewe Ndani na Kisha Kumchoma Moto - Mtwara

Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linamsaka mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Zuhura Ismail (29) kwa tuhuma za kumuua mume wake baada ya kumfungia ndani na kisha kuichoma nyumba kwa petroli.Taarifa hizo zimetolewa na Kamanda wa Polisi mkoani humo Lucas Mkondya, ambapo amesema...
Saturday, December 23, 2017
Disko Toto, Fataki vyapigwa marufuku Dar katika siku ya mkesha wa kuukaribisha mwaka

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limepiga marufuku kufyatua fataki siku ya mkesha wa sikukuu ya mwaka mpya hivyo wananchi wametakiwa kukusanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers vilivyopo Kawe ndipo wataruhusiwa kufyatua milipuko...
Askari mwingine JWTZ aliyeshambuliwa DRC afariki Dunia

PICHA. NA MAKTABA
ASKARI wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) aliyekuwa katika Kikosi cha Umoja wa Mataifa cha Kulinda Amani nchini Jamhuri...
Friday, December 22, 2017
Thursday, December 21, 2017
ABB completes EPC business model change

ABB today announced actions across three divisions to complete the business model change for engineering, procurement and construction (EPC) as it ends its transition year 2017. These decisions are fully in line with ABB’s strategy to shift the center of gravity towards...
Sanlam General Insurance Empowers General Insurance Agents
Sanlam Chief Executive Officer, Mr. Manasseh Kawoloka.
Sanlam Chief Executive Officer, Mr. Manasseh Kawoloka. Introducing Sanlam General Insurance Management Team. On his right is Business Development Manager - Mr. Jabir Kigoda, on his left is Chief Finance Officer, Mr....
Wednesday, December 20, 2017
Vijana wachangamkia fursa kupitia Program ya Wajibika ya Benki ya NBC
Mmoja ya waratibu wa programu ya Wajibika ya
Benki ya NBC, Michael Mwangoka (kushoto), akizungumza na baadhi ya
vijana na wanafunzi katika viwanja Leaders, Dar es Salaam juzi kuhusu
Programu ya Wajibika yenye
lengo la kuwaandaa vijana...
WATOTO YATIMA WAISHUKURU KAMPUNI YA QNET TANZANIA

Mwakilishi wa QNET Tanzania, Benjamin Mariki akikabidhi misaada mbalimbali ikiwepo vyakula na mahitaji muhimu ya kibinadamu kwa mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Khayraat Orphans Centre kilichopo Kigogo Kati, Bi. Khadija Hussein hafla ya makabidhiano hayo...