A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Thursday, June 13, 2019

TIMU YA JESHI WAPOTEANA MBELE YA RELINI FC MASHINDANO YA PROPHET SIGUYE CUP


Mlinda mlango  wa Relini FC, Juma Athuman, akijaribu kuokoa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Airwing FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Relini imeibuka kidedea kwa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mlinda mlango  wa Airwing FC Mohamed Nassor, akishindwa kuokoa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Relini FC, wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet Suguye  Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Relini imeibuka kidedea kwa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Relini FC Abuisa Moshi, akimtoka Beki wa kushoto wa Airwing FC, Yusuph Seif dhidi ya mchezo wao na Relini FC, wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Relini imeibuka kidedea kwa   2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Relini FC, Steven Tiger, akirudisha mpira kwa mlinda mlango wake Juma Athuman, katika moja ya heka heka wakati wa mchezo wao na Airwing FC, katika Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanjabvya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu ya Relini imeibuka kidedea kwa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Wapenzi na Mashabiki wasoka wakiwa viwanjani kufuatilia mtanange huo
  Kikosi cha Airwing FC
Kikosi cha Relini FC
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive