A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Tuesday, June 25, 2019

PROPHET SUGUYE CUP SASA YAFIKA PATAMU


Mshambuliaji wa timu ya Tumaini FC Ramadhani Mussa, akijaribu kuwatoka mabeki wa Home Boys FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Tumaini imeibuka na ushindi wa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Beki wa Home Boys, Elius Daud, akiokoa moja ya shambulizi wakati wakichuana na  Tumaini FC, katika mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shuleya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu ya Tumaini iliinyuka Home Boys mabao 2-0  Mchezo huo umepigwa leo viwanjani. hapo.Kiungo wa Tumaini FC Chongoro Jolvin akimtoka Beki wa Home Boys FC Kelvin Mbisso wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu ya Tumaini iliilaza Home Boys kwa mabao 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Winga wa Kushoto wa Home Boys Daniel Moses, akijiandaa kupiga mpira wakati wa mchezo wao na Tumani FC, katika  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanjabvya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu ya Tumaini iliilaza Home Boys kwa mabao 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Wachezaji wa timu hizo wakiwania mpira wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu hizo ya Tumaini iliilaza  Home Boys kwa mabao 2-0  Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Winga wa kulia wa Tumaini FC, akijiandaa kupiga mpira wakati wa mchezo wao na Home Boys FC, katika  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Tumaini iliilaza Home Boys kwa mabao 2-0  Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Baadhi ya mashabiki waliofika kushuhudia mtanange huo.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive