A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Wednesday, June 12, 2019

LORD EYES FC YATOANA JASHO NA MAGEREZA MASHINDANO YA PROPHET SUGUYE CUP


Beki wa Lord Eyes, Ally Khalifa (kulia), akimchezea vibaya Mshambuliaji wa Magereza FC, John Magulambo wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuli na kutoka sare ya bila kufungana.
Mshambuliaji  wa timu ya Lord Eyes  FC  Budo Francis,  akijaribu kupiga shuti wakati wa mchezo wao na Magereza FC, katika Mchezo wa  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuli na kutoka sare ya bila kufungana kulia ni Mshambuliaji wa timu ya Magereza Danford Kessy.
Mshambuliaji wa Magereza FC Moses Godfrey, akimtoka Mchezaji wa Lord Eyes FC John Gisanta, wakati wa mchezo wao na Magereza FC, katika  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuli na kutoka sare ya bila kufungana.
Mshambuliaji wa Magereza FC  John Magulambo, akijaribu kufanya mashambulizi, wakati wa mchezo wao na Lord Eyes FC, kwenye Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la DaresSalaam ambapo timu hizo zilitunishiana misuli na kutoka sare ya bila kufungana.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive