A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Tuesday, June 11, 2019

MASHINDANO YA SUGUYE CUP YAFANA KIVULE


Beki wa Stone Town, Method Mello (kulia), akiokoa moja ya shambulizi wakati wakichuana na Tumaini FC, katika mchezo wa Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Tumaini imeibuka na ushindi wa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mlinda mlango  wa Stone Town, Omari Fadhili akijaribu kukamata mpira dhidi ya mchezo wao na Tumaini FC, wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet Suguye  Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo Timu ya Tumaini imeibuka na ushindi wa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Tumaini FC  Njogoro Njogoro, akijaribu kufanya  moja ya shambulizi wakati wakichuana na  Ston Towne FC, katika mchezo wa  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Tumaini imeibuka na ushindi wa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Wachezaji wa timu hizo wakiwania mpira wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo ambapo timu ya Tumaini imeibuka na ushindi wa 2-0 Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive