A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Sunday, June 2, 2019

MASHINDANO YA PROPHET SUGUYE CUP YAZIDI KUPAMBA MOTO KIVULE

Mshambuliaji wa Kampota FC Juru Juru, akihamisha moja ya mpira wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo Kampota ilicheza na Kitinye FC, na Kampota imeibuka kidedea kwa mabao 2-1 dhidi ya Kitinye mchezo huo umefanyika jana viwanjani hapo.
Wachezaji wa timu Kampota FC na Kitinye FC, wakiwania mpira wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo Kampota ilishinda 2-1 dhidi ya Kitinye mchezo huo umefanyika jana viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa timu ya Kampota FC Japhet Kindole (mwenye jezi namba 3), akimpiga chenga ya mwili mchezaji wa Kitinye FC, wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam, Kampota imeibuka kidedea kwa mabao 2-1 mchezo huo umefanyika jana viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Kitinye FC Daidi Issa, akisawazisha goli kwa kichwa wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo Kampota ilishinda 2-1 dhidi ya Kitinye mchezo huo umefanyika jana viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Kitinye FC Abdul Ramadhani akituliza mpira wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo Kampota ilishinda 2-1 dhidi ya Kitinye mchezo huo umefanyika jana viwanjani hapo.
Mshambuliaji machachali wa Kitinye FC Abdul Ramadhani akiwatoka mabeki wa Kampota wakati wa mchezo wa Ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Dar es Salaam ambapo katika mchezo huo Kampota ilishinda 2-1 dhidi ya Kitinye mchezo huo umefanyika jana viwanjani hapo.
Mashabiki wa timu ya Kampot a FC wakishangilia baada ya timu yao kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Kitinye FC.
Mwenyekiti wa Kamati Ligi ya PROPHET SUGUYE CUP Robert Mujuni (wa pili kushoto), akifafanua jambo wakati wa mchezo kati ya Kitinye FC na Kampota FC baada ya golikipa wa Kitinye kupata majeraha wakati wa mchezo huo na kukimbizwa Hospitali. Wengine ni viongozi waandaaji wa ligi hiyo na viongozi kutoka Kitinye FC.
Viongozina Waandaji wa Ligi hiyo wakifuatilia mtanange huo.
Mchezaji wa timu ya Kitinye FC akilia baada mchezo wao na Kampota kwisha na timu yake ikiwa imefungwa 2-1.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive