A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Saturday, June 15, 2019

MASHINDANO YA PROPHET SUGUYE CUP YAFIKA PAZURI


Beki na Nahodha wa Kampota FC, Sajo Orden (mwenyejezi ya bluu), akijaribu kumtoka Mshambuliaji wa Texas FC, Abdallah Shabani  wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kampota ilishinda 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mlinda mlango  wa Texas FC, James Mlina akijaribu kuokoa shambulizi dhidi ya mchezo wao na Kampota FC, wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet Suguye  Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo Kampota ilishinda 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Kampota FC Hassan Fantom, akijaribu kumtoka mchezaji wa Texas FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo Kampota ilishinda 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Kampota FC, Juma Mziga akijaribu kuwatoka mabeki  wa Texas FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo Kampota ilishinda 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Mshambuliaji wa Kampota FC, Hassani Fantom, akijaribu kumtoka mchezaji wa Texas FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo Kampota ilishinda 2-0. Mchezo huo umepigwa leo viwanjani hapo.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive