A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


  • CRDB Bank Share up 16PC in three weeks

    CRDB bank share price has made an abrupt U-turn after appreciating by 16 per cent in the last three weeks.

  • TIB slashes losses, bad loans up!

    TIB Development Bank has considerably reduced its net loss 17 times to 582m/- in this year quarter two (Q2) after cutting expenses.

  • MALINZI blesses TFF elections

    THE ousted Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi has expressed gratitude to the government, sponsors and football stakeholders in the country for their massive support.

  • Barrick, government talks next week

    BARRICK Gold will begin discussions with the government on the concentrate export ban and other issues next week

Thursday, June 27, 2019

TIMU HIZI NDIO BALAA PROPHET SUGUYE CUP

Mshambuliaji  wa timu ya Tumaini FC  Azizi Mussa, akijaribu kuwatoka mabeki wa Fair Play FC, wakati wa mchezo wa  Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo...
Share:

Vodacom Tanzania Foundation yazindua ripoti ya maendeleo ya jamii na mkakati mpya wa kuchochea ukuaji jumuishi

Na Mwandishi wetu Taasisi isiyo ya kiserikali ya Vodacom Tanzania Foundation, imezindua ripoti yake ya mchango wa maendeleo ya jamii kwa miaka mitatu iliyopita (2014-2017) pamoja na mkakati mpya wa miaka mitatu 2019-2021 unaolenga kuchochea elimu jumuishi, ukuaji wa sekta...
Share:

Tuesday, June 25, 2019

PROPHET SUGUYE CUP SASA YAFIKA PATAMU

Mshambuliaji wa timu ya Tumaini FC Ramadhani Mussa, akijaribu kuwatoka mabeki wa Home Boys FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Tumaini...
Share:

Monday, June 24, 2019

Unilever yakamilisha kampeni ya Toa Mkono wa Ukaribu kwa kusaidia yatima na wazee wasiojiweza

Meneja Bidhaa ya Omo ya Kampuni ya Unilever, Upendo Mkusa (kushoto) akimkabidhi  msaada wa sabuni, Sukari na Nguo kwa Mkurugenzi wa Kituo cha Kulelea Watoto yatima cha Children`s Home Msimbazi, Sista Etienne katika kuhitimisha Kampeni ya Kampuni hiyo ya Toa  Mkono...
Share:

Watanzania washauriwa kuwekeza katika masoko ya fedha

Mkurugenzi wa Idara ya Hazina na Masoko ya Fedha wa Benki ya NBC, Peter Nalitolela (kulia) akizungumza na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Biashara ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDBS), wakati wa semina kuhusu ujuzi katika sekta ya benki pamoja na masoko ya fedha na mitaji...
Share:

Barclays Bank Tanzania under Absa Group Limited announces Visa Credit Card “Live the Card Life” promotional campaign winner

Barclays Bank Tanzania Head of Retail Banking, Oscar Mwamfwagasi (right), addresses a media conference in Dar es Salaam at the weekend to announce the winner of the bank’s just ended Visa Credit Card ‘Live the Card Life’ campaign. A Dar es Salaam resident, Yusufu Fadhili...
Share:

Saturday, June 22, 2019

LIGI YA PROPHET SUGUYE WA WRM YAFIKA PAZURI

Beki wa Bodaboda FC, akipiga mpira kwakichwa kuokoa moja ya shambulizi wakati wakichuana na Kitinye FC, katika mchezo wa Ligi ya Prophet Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shuleya Msingi Misitu Kivule, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam ambapo timu ya Kitinye iliibuka...
Share:

Barclays Bank presents prizes to English Premier League campaign winner

Barclays Bank Tanzania Head of Cards Issuing and Acquiring, Deogratius Moshy hands over a Sony music system,  UHD Samsung  television  and a sofa set from Game supermarket to Coast Region resident, Majid Omari, one of the winners on...
Share:

Thursday, June 20, 2019

Washindi wengine waibuka kwenye draw ya pili ya M-Pawa

Balozi wa M-Pawa kupitia Benki ya CBA Silvery Mujuni, maarufu kama Mpoki  (kushoto), akiongea kwa njia ya simu na mmoja ya Mshindi wa M-Pawa kupitia Benki hiyo wakati wakuchezesha droo ya pili ya kukopa na kuweka na M-Pawa inayoendelea katika kusherehekea...
Share:

Benki ya DCB kuendelea kuwawezesha wananchi kiuchumi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa (kulia), akikabidhi cheti kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa kilichotokewa kwa kutambua udhamini wa benki hiyo katika kufanikisha Kongamano la nne la Kitaifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililofanyika...
Share:

Wednesday, June 19, 2019

MECHI ZA LEO JUNI 19, VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI MISITU KIVULE HAPATOSHI

Mshambuliaji  wa timu ya Magereza FC, Samson Mbangula (wapili kushoto), akijaribu kuwatoka mabeki wa  Professional FC, wakati wa mchezo wa Ligi ya Prophet  Suguye Cup inayoendelea katika Viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya Jiji la Dar es...
Share:

Barclays Tanzania opens another forex bureau in a Dar 5 Star Hotel

Barclays Bank Tanzania Head of Marketing and Corporate Relations, Aron Luhanga (right), shakes hands with Hyatt Regency Dar es Salaam Operations Director, Timothy Mlay during the official opening of BBT second forex bureau in Dar es Salaam yesterday. In the picture from left...
Share:

Tuesday, June 18, 2019

Maonyesho ya ng'ombe bora wa maziwa yafana Dodoma

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (wa tatu kushoto) akitoa tuzo kwa Mshindi wa kwanza wa Fahali bora kutoka Mbozi, Mkoani Iringa, Abraham Mwalutende wakati wa maonesho ya  Ng`ombe Bora wa Maziwa yaliyofanyika katika Viwanja vya Nanenane jijini Dodoma juzi.Wapili...
Share:

Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive