Mkuu wa Bidhaa kwa Wateja Rejareja wa Benki ya Absa Tanzania, Heristraton Genesis (wa pili kushoto), akichukua tiketi, ili kumpata mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya akaunti ya mshahara ya benki hiyo iliyopewa jina la ‘Ongeza Mshahara wako’ jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Ili kushinda mteja mpya hutakiwa kufungua akaunti ya mshahara ama kwa mteja wa zamani kupitisha mshahara wake benki katika mwezi ulio ndani ya kipindi cha promosheni ili kujishindia kiasi cha fedha hadi asilimia 100 ya mshahara uliowekwa. Wengine kutoka kushoto ni, Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Rasuli Masudi, Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa Absa, John Beja na Meneja Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Beda Biswalo.
Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa Benki ya Absa Tanzania, John Beda (wa pili kulia), akisoma jina la mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya akaunti ya mshahara ya benki hiyo iliyopewa jina la ‘Ongeza Mshahara wako’ jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Ili kushinda mteja mpya hutakiwa kufungua akaunti ya mshahara ama kwa mteja wa zamani kupitisha mshahara wake benki katika mwezi ulio ndani ya kipindi cha promosheni ili kujishindia kiasi cha fedha hadi asilimia 100 ya mshahara uliowekwa. Wengine kutoka kushoto ni, Mkuu wa Bidhaa kwa Wateja Rejareja, Heristraton Genesis, Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Rasuli Masudi, na Meneja Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Beda Biswalo.
Mkuu wa Bidhaa kwa Wateja Rejareja wa Benki ya Absa Tanzania, Heristraton Genesis (wa pili kushoto), akisoma jina la moja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya akaunti ya mshahara ya benki hiyo iliyopewa jina la ‘Ongeza Mshahara wako’ jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Ili kushinda mteja mpya hutakiwa kufungua akaunti ya mshahara ama kwa mteja wa zamani kupitisha mshahara wake benki katika mwezi ulio ndani ya kipindi cha promosheni ili kujishindia kiasi cha fedha hadi asilimia 100 ya mshahara uliowekwa. Wengine kutoka kushoto ni, Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Rasuli Masudi, Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa Absa, John Beja na Meneja Msoko na Mawasiliano wa beni hiyo, Beda Biswalo.
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Beda Biswalo (kulia), akichanganya tiketi ili kumpata mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya akaunti ya mshahara ya benki hiyo iliyopewa jina la ‘Ongeza Mshahara wako’ jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Ili kushinda mteja mpya hutakiwa kufungua akaunti ya mshahara ama kwa mteja wa zamani kupitisha mshahara wake benki katika mwezi ulio ndani ya kipindi cha promosheni ili kujishindia kiasi cha fedha hadi asilimia 100 ya mshahara uliowekwa. Wengine kutoka kushoto ni, Mkuu wa Bidhaa kwa Wateja Rejareja, Heristraton Genesis, Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Rasuli Masudi, Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa Absa, John Beja.
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Beda Biswalo (wa pili kulia), akisoma jina la mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya akaunti ya mshahara ya benki hiyo iliyopewa jina la ‘Ongeza Mshahara wako’ jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Ili kushinda mteja mpya hutakiwa kufungua akaunti ya mshahara ama kwa mteja wa zamani kupitisha mshahara wake benki katika mwezi ulio ndani ya kipindi cha promosheni ili kujishindia kiasi cha fedha hadi asilimia 100 ya mshahara uliowekwa. Wengine kutoka kushoto ni, Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Rasuli Masudi, Mkuu wa Bidhaa kwa Wateja Rejareja, Heristraton Genesis na Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa Absa, John Beja.
0 comments:
Post a Comment