Balozi wa akaunti maalumu ya DCB Skonga ya Benki ya Biashara ya DCB, Angel Joachim (wa tatu kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja waliofika maeneo ya Mlimani City Dar es Salaam hivi karibuni kuhusu faida za akaunti hiyo inayompa mteja uhakika wa elimu ya mtoto wake hadi chuo kikuu hata itakapotokea majanga yatakayosababisha ulemavu wa kudumu ama kifo.
Balozi wa akaunti maalumu ya DCB Skonga ya Benki ya Biashara ya DCB, Irene William (kulia), akizungumza na wateja waliofika katika banda la benki hiyo katika maeneo ya Mlimani City Dar es Salaam hivi karibuni kuhusu faida za akaunti hiyo inayompa mteja uhakika wa elimu ya mtoto wake hadi chuo kikuu hata atakapopata ulemavu wa kudumu au kifo.
Balozi wa akaunti maalumu ya DCB Skonga ya Benki ya Biashara ya DCB, Hadija Kimaro (kushoto), akizungumza na wanafunzi waliofika katika banda la benki hiyo katika maeneo ya Mlimani City Dar es Salaam hivi karibuni uhusu faida ya akaunti hiyo inayompa mteja uhakika wa elimu ya mtoto wake hadi chuo kikuu hata atakapopata majanga yatakayosababisha ulemavu wa kudumu ama kifo.
Balozi wa akaunti maalumu ya DCB Skonga ya Benki ya Biashara ya DCB, Neema Mziray (kulia), akizungumza na baadhi ya watu waliofika katika banda la benki hiyo katika maeneo ya Mlimani City Dar es Salaam hivi karibuni kuhusu faida na jinsi ya kujiunga na akaunti hiyo inayomhakikishia mteja uhakika wa elimu ya mtoto wake hadi kufika chuo kikuu hata yanapotokea majanga yatakayosabisha ulemavu wa kudumu ama kifo. Kutoka kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Huduma kwa wateja wa kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance, Dk. Maria Janja na Mfanyabiashara wa Vyakula, Happy Lyimo.
0 comments:
Post a Comment