A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Thursday, January 2, 2020

Air Tanzania na Swiss port yaingia makubaliano kufanya kazi pamoja

Mkurugenzi Mkuu wa Swissport Tanzania Mrisho Yassin(katikati), akimsikiliza Kaimu Meneja wa kituo cha uwanja wa ndege namba tatu Barton Komba (kulia) wakati wakiingia makubaliano ya kufanya kazi pamoja kati ya Swissport na Air Tanzania, khafla iliyofanyika katika viwanja vya ndege terminal 3 jana, (kushoto) ni Mkurugenzi wa fedha Swissport Tanzania Imani Mtafya
Mkurugenzi Mkuu wa Swissport Tanzania Mrisho Yassin (wa tatu kulia), pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Mipango Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) Kitula Yango (wa tatu kushoto) wakikata keki wakati wakiingia makubaliano ya kufanya kazi pamoja kati ya Swissport na Air Tanzania, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya ndege terminal 3 jana. Wengine pichani ni Maofisa kutoka Swissport na ATCL.
Mkurugenzi Mkuu wa Swissport Tanzania Mrisho Yassin, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa wakiingia makubaliano ya kufanya kazi pamoja kati ya Swissport na Air Tanzania, hafla iliyofanyika katika viwanja vya ndege terminal 3 jana.

Mkurugenzi Mkuu wa Swissport Tanzania Mrisho Yassin, akifafanua jambo kwa Maofisa kutoka shirika la ndege la Tanzania wakati wa halfa ya kuingia makubaliano ya kufanya kazi pamoja kati ya Swissport na Air Tanzania. Makubaliano hayo yalifanika jana katika viwanja vya ndege terminal 3 jana.
Mkuu wa Kitengo cha Mipango Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) Kitula Yango (katikati) akifafanua jambo wakati wa khalfa ya kuingia makubaliano ya kufanya kazi pamoja kati ya Swissport na Air Tanzania. (kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Swissport Tanzania Mrisho Yassin pamoja na Mkurugenzi wa fedha Swissport Tanzania Imani Mtafya. Makubaliano hayo yalifanika jana katika viwanja vya ndege terminal 3 jana.

Baadhi ya wafanyakazi wa Swissport Tanzania wakiwa katika hafla hiyo.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive