Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Biashara ya DCB, Zacharia Kapama (wa pili kushoto), akisoma hotuba yake katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutangaza taarifa za fedha ambapo alisema DCB imepata faida ya shs bilioni 2.3 kwa mwaka...
Friday, January 31, 2020
Thursday, January 30, 2020
KAMPENI YA USAFI YA OMO NG’ARISHA YAZINDULIWA

Umati wa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam waliofurika katika Uwanja wa Mbagala Zakhem, Dar es Salaam jana, kushuhudia uzinduzi rasmi wa Kampeni usafi ya OMO Ng'arisha Festival wakifuatilia matukio ya uzinduzi huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Unilever Tanzania, David...
Monday, January 27, 2020
NBC yawataka wanawake wajasiriamali kujiunga na klabu ya biashara ya benki hiyo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angela Kairuki, (wa pili kushoto) akishikana mikono na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Rejareja Maalum wa Benki ya NBC, Ashura Waziri wakati wa semina ya kwanza ya wanawake wa Kiislam kuhusu Ujasiliamali...
Tuesday, January 21, 2020
BILLION PAINTS YATOA NDOO 500 ZA RANGI KATIKA KUBORESHA ELIMU DAR
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akizungumza na wanahabari wakati alipokwenda kutembelea kiwanda cha utengenezaji wa rangi cha Billion Paints
Meneja Masoko wa kampuni ya utengenezaji wa Rangi cha Billion Paints Ruth Muruve,
akizungumza na wanahabari...
Liquid Telecom to launch first 5G wholesale roaming network service in South Africa

Liquid Telecom to launch first 5G wholesale roaming network service in South AfricaAccess to ultra-fast roaming network will enable network operators to create innovative, reliable and scalable digital services for their customersJohannesburg, January 20, 2020 – Leading...
Wednesday, January 15, 2020
Thursday, January 9, 2020
Wateja watano wa NBC washinda Yamaha, Ibuka Kidedea na NBC Malengo
Meneja wa Kampeni ya Ibuka Kidedea na NBC Malengo, Mtenya Cheya (kushoto), akizungumza na mmoja washindi aliyeshinda zawadi ya bodaboda katika droo ya tatu ya kampeni hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto kwake ni Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza wa NBC,...