A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Wednesday, March 13, 2019

Wanawake wa NBC waadhimisha Siku ya Wanawake wakiwawatembelea wateja wao

01
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Maalumu wa Benki ya NBC, Ashura Waziri (kulia),  na ofisa katika  kitengo hicho, Nuru Lema (kulia), wakikabidhi maua kwa mmoja wa wateja wao Bi. Manka Teweli, dukani kwake jijini Dar es Salaam hivi karibuni  ikiwa ni moja ya matukio katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.  
02
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Maalumu wa Benki ya NBC, Ashura Waziri (katikati), na ofisa katika kitengo hicho, Nuru Lema (kulia),  wakikabidhi maua kwa mmoja wa wateja wao Bi. Nkaleni Moria Warioba,  ofisini kwake jijini Dar es Salaam hivi karibuni ikiwa ni moja ya matukio katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.
03
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Maalumu wa Benki ya NBC, Ashura Waziri (kushoto), akikabidhi  maua kwa mmoja wa wateja wao Mama Scolastika Ponera, nyumbani kwake jijini Dar es Salaam hivi karibuni  ikiwa ni moja ya matukio katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.
04
Mkuu wa Kitengo cha Wateja Maalumu wa Benki ya NBC, Ashura Waziri (katikati), na ofisa katika kitengo hicho, Nuru Lema (kushoto), wakikabidhi maua kwa mmoja wa wateja wao Bi. Doreen Nandha,  dukani kwake jijini Dar es Salaam hivi karibuni  ikiwa ni moja ya matukio katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive