A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Sunday, March 17, 2019

NAIBU WAZIRI STELLA IKUPA APELEKA NEEMA KIPAWA.

Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa, akizungumza na wakazi wa Kipawa na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Kabla ya kugawa Mifuko 30 ya Saruji kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya CCM Kipawa ambayo inatraji kufanyiwa ukarabati.
Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa  akikabidhi mifuko 30 ya Saruji kwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi kata ya Kipawa kwa ajili ya kukarabati ofisi za Chama hicho.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala(UWT),Amina Dodi akitoa neno kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuzungumza.
 Katibu Mkuu wa Umojha wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala,Bora Hassan akitoa utambulisho wa Viongozi wa meza kuu.
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Kipawa Adiriano Komba, akizungumza na kutoa shukrani kwa niaba ya wakazi wa Kipawa mara baada yakupokea msaada huo kushoto kwake ni  Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa pamoja na viongozi wengine kutoka chama hicho .
Wananchi wa Kipawa waliohudhuria katika Mkutano wa Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa
Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na wenyeulemavu,Stella Ikupa akiwasili katika viwanja vya mkutano.  Picha zote na Brian Peter

Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive