A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Wednesday, March 6, 2019

Mkurugenzi Mtendaji wa NBC amtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Paul Makonda, akimsikiliza
Mkurugenzi Mtendaji  wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC),  Theobald Sabi
(kulia), wakati mkurugenzi huyo akimtembelea ofisini kwake Ilala, Dar es Salaam hivi karibuni Kushoto ni  Meneja Mahusiano wa NBC,  William Kallaghe. Mazungumzo yao yalijikita katika kuangalia namna mbalimbali za kudumisha ushirikiano wa pande zote mbili.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, akizungumza na
Mkurugenzi Mtendaji  wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC),  Theobald Sabi
 (kulia) pamoja na Meneja Mahusiano wa NBC, William Kallaghe ,
alipotembelewa na viongozi hao wa NBC ofisini kwake Ilala, Dar es Salaam hivi karibuni.


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, akifurahia jambo na
Mkurugenzi Mtendaji  wa Benki ya Taifa ya Biashara NBC Theobald Sabi
(kulia) pamoja na Meneja Mahusiano wa NBC William Kallaghe ,
walipokwenda kumtembelea ofisini kwake Ilala, Dar es Salaam hivi karibuni
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive