A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Sunday, October 15, 2017

WANAWAKE WAJASILIAMALI WASHEREHEKEA SIKU YA MKE MWEMA JIJINI DAR

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya siku ya Mke Mwema, Beatrice Geblon Ollotu (kulia), akizungumza na baadhi ya wanawake wema walio jitokeza kuhudhuria katika maadhimisho hayo  yaliyofanyika katika ukumbe wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam leo Wengine ni baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo.
Mkurugenzi  Mtendaji  wa kampuni ya Acclavian Furniture na  Acclavian Insurance Nindiu Mpangile, (kulia) akizungumza na baadhi ya wanawake walio jitokeza kuhudhuria maadhimisho wa siku ya Mke Mwema yaliyofanyika katika ukumbe wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam leo Wengine ni baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo
Mkurugenzi  Mtendaji  wa kampuni ya utengenezaji wa keki  (EBEN CAKES) Irene Ogy, akizungumza katika hafla hiyo


Mjumbe wa kamati ya maandalizi Winnie Minde.
Picha ya pamoja

Mkurugenzi  Mtendaji  wa kampuni ya uuzaji wa maua (UPENDO FLORIST) Upendo Mmari, akitoa neno la shukrani kwa waandaaji wa hafla hiyo






 viongozi wakikata keki
burudani zikiendelea wanawake wema wakiserebuka katika hafla hiyo
picha zote na Brian Peter
Share:

1 comment:

  1. jambo jema wafikien na wenzenu uko ngazi ya kanda mpaka ngazi ya kata mkawafundishe nana gan wanaweza kukuza biashara zao na kuiuna vipato vyao

    ReplyDelete


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive