Meneja Usambazaji wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Samuel Shoo, akikabidhi msaada sehemu ya mifuko 1000 ya saruji yenye thamani ya ya shs milioni 12,500,000 kwa Naibu Kamishna wa polisi (DCP) wa Mkoa wa Arusha Charles Mkumbo (kushoto), iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za polisi zilizoungua moto hivi karibuni. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la Kituo Kikubwa cha Polisi Arusha jana. Wengine pichani ni maofisa wa kampuni ya Saruji na kutoka katika majeshi ya ulinzi na usalama.
02: Mkuu wa Idara ya Mauzo na
Masoko wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Peet
Brits, akikabidhi msaada sehemu ya mifuko 1000 ya saruji yenye thamani
ya ya shs milioni 12,500,000 kwa Naibu
Kamishna wa polisi (DCP) wa Mko wa
Arusha Charles Mkumbo (wa pili kushoto),
iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za polisi
zilizoungua moto hivi karibuni mkoani
humo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika katika eneo la Kituo kikubwa cha
Polisi Arusha jana. Wengine pichani ni maofisa wa Saruji Tanga na kutoka katika
majeshi ya ulinzi na usalama
Meneja Masoko Mkoa wa
Arusha wa Kampuni ya Saruji Tanga
(TCPLC), Christopher Mgonja, akikabidhi msaada sehemu ya mifuko 1000 ya saruji
yenye thamani ya ya shs milioni 12,500,000
kwa Naibu Kamishna wa polisi (DCP)
wa Mko wa Arusha Charles Mkumbo
(kushoto), iliyotolewa kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa majengo ya nyumba za
polisi zilizoungua moto tarehe
27septemba Mkoani humo. Hafla ya
makabidhiano ilifanyika katika eneo la Kituo Kikubwa cha Polisi Arusha jana.
Wengine pichani ni maofisa wa Saruji Tanga na kutoka katika majeshi ya ulinzi
na usalama
0 comments:
Post a Comment