Mwenyekiti
wa Kamati ya Maandalizi ya siku ya Mke Mwema, Beatrice Geblon Ollotu (kulia),
akizungumza na baadhi ya wanawake wema walio jitokeza kuhudhuria katika
maadhimisho hayo yaliyofanyika katika
ukumbe wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam leo Wengine ni baadhi ya
wajumbe wa kamati hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Acclavian Furniture na Acclavian Insurance Nindiu Mpangile, (kulia)
akizungumza na baadhi ya wanawake walio jitokeza kuhudhuria maadhimisho wa siku
ya Mke Mwema yaliyofanyika katika ukumbe wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es
Salaam leo Wengine ni baadhi ya wajumbe wa kamati hiyoMkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya utengenezaji wa keki (EBEN CAKES) Irene Ogy, akizungumza katika hafla hiyo
Mjumbe wa kamati ya maandalizi Winnie Minde.
viongozi wakikata keki
burudani zikiendelea wanawake wema wakiserebuka katika hafla hiyo
jambo jema wafikien na wenzenu uko ngazi ya kanda mpaka ngazi ya kata mkawafundishe nana gan wanaweza kukuza biashara zao na kuiuna vipato vyao
ReplyDelete