
Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani wa Benki ya Biashara ya Tanzania Commercial Bank TCB Sosthenes Nyenyembe akizungumza wakati wa hafla yakukabidhi madawati 50 yaliyozolewa na Benki hiyo katika Shule ya Msingi Komboa iliyopo wilaya ya Mbinga Mkoani Ruvuma.Afisa Elimu Msingi Halmashauri...