A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


  • CRDB Bank Share up 16PC in three weeks

    CRDB bank share price has made an abrupt U-turn after appreciating by 16 per cent in the last three weeks.

  • TIB slashes losses, bad loans up!

    TIB Development Bank has considerably reduced its net loss 17 times to 582m/- in this year quarter two (Q2) after cutting expenses.

  • MALINZI blesses TFF elections

    THE ousted Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi has expressed gratitude to the government, sponsors and football stakeholders in the country for their massive support.

  • Barrick, government talks next week

    BARRICK Gold will begin discussions with the government on the concentrate export ban and other issues next week

Sunday, December 20, 2020

Tanga Cement yashinda ushindi wa jumla tuzo za NBAA kwa Mwaka 2019

 Kamishna wa Fedha anaesimamia sekta za maendeleo kutoka Wizara ya Fedha Dk. Charles Mwamaja (wa pili kushoto), akikabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza wa kipengele cha Wazalishaji Bora katika tuzo za Uwasilishaji Bora wa Taarifa za Mahesabu za Bodi ya Taifa ya Wahasibu na...
Share:

Saturday, December 19, 2020

AKIBA COMMERCIAL BENKI YAIPIGA JEKI TAASISIS YA FATA VICOBA ENDELEVU YADHAMINI MKUTANO WA MWAKA

 Meneja wa Benki ya Akiba Commercial Benki PLC (ACB), Tawi la Kijitonyama Joachim Mowo (kushoto) akizungumza na wanachama wa Taasisi ya fata vicoba endelevu wakati wa halfa ya Mkutano wao wa mwisho wa mwaka wa Taasisi hiyo ambapo mkutano huo uliodhaminiwa na Benki ya ACB...
Share:

KITILA MKUMBO AANZA KAZI ZAKUSAKA WA WEKEZAJI KWA SPEED YA 4G

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo (wa kwanza kutoka kushoto) akiangalia bidhaa zinazozalishwa na Kiwanda cha KNAUF Gypsum Tanzania Ltd kilichopo mkoani Pwani, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho, Ilse Boshoff (Aliyevaa nguo za Kitenge.)Waziri...
Share:

ZANTEL YAWAWEZESHA WATEJA KUMILIKI SIMU ZA SMARTA KWA URAHISI KUPITIA MALIPO KIDOGO KIDOGO

 Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohammed Mussa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya ‘Haba na Haba Hununua Smarta’ iliyofanyika jana. Kupitia huduma hiyo wateja wanaweza kununua simu aina ya Smarta kwa kulipa kidogo kidogo kuanzia Shilingi elfu moja...
Share:

Friday, December 18, 2020

BENKI YA CRDB YAWAPA ZAWADI ZA KUFUNGA MWAKA WANAFUNZI WA VYUONI

  Meneja Mwandamizi wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya CRDB, Abel Lasway (katikati) akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari wakati wa kutangaza washindi wa kampeni ya JIPE 5 na Scholar ambayo inaendeshwa na Benki ya CRDB kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo...
Share:

TIC YAPOKEA WAWEKEZAJI KUTOKA NCHINI UTURUKI

 Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimepokea Ugeni wa wafanyabiashra/wawekezaji kutoka Nchini Uturuki na umejumuisha Makampuni matano. Ugeni huo ukiongozwa na Balozi wa Tanzania nchini Uturuki Prof. Elizabeth Kiondo ugeni huo umefika chini ili kukutana na wadau mbalimbali...
Share:

PROF. KITILA ATINGA TIC, ATAKA TAARIFA ZA UWEKEZAJI KILA BAADA YA MIEZI MITATU

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo akisikiliza jambo kutoka kwa Afisa wa Wizara ya Ardhi anayehudumia Wawekezaji katika Kituo cha Uwekezaji (TIC,) Kituo cha Huduma za Mahala za Pamoja (One Stop Centre).Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof....
Share:

Thursday, December 17, 2020

SGA SECURITY WINS TOP SECURITY AWARD AT THE TANZANIA CONSUMER CHOICE AWARDS CEREMONY IN DAR ES SALAAM

 SGA Security Managing Director, Eric Sambu (second left) displays the award that his company received after being announced overall winner of the Most Equipped and Reliable Security Company of the Year, 2020 at the Tanzania Consumer Choice Awards ceremony held in Dar es...
Share:

Wednesday, December 16, 2020

BENKI YA CRDB YAENDELEA KUIBUKA KINARA KATIKA TUZO ZA MABENKI NCHINI

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia), akikabidhiwa tuzo ya benki ya ndani ya nchi inayopendwa zaidi kwenye hafla ya tuzo za Tanzania Consumer Choice Awards 2020 zilizofanyika tarehe 13 Desemba 2020.Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid...
Share:

Monday, December 14, 2020

Absa Tanzania Yashinda Tuzo Ya Benki Bora Ya Kimataifa nchini Tanzania

Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Mhe Exaud Silaoneka Kigahe (wa pili kulia) akikabidhi cheti cha shukrani kwa kutambua mchango wa Benki ya Absa Tanzania kama mdhamini mkuu wa tuzo za kila mwaka za walaji (Tanzania Consumer Choice Awards), kwa Ofisa Fedha Mkuu wa...
Share:

Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Apongeza Uwezeshaji Unaofanywa Na Benki Ya CRDB Kwa Wanawake

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mahusiano Tawi la Oysterbay, Witness Kileo kuhusu uwezeshaji unaofanywa na Benki yetu kwa Wanawake kupitia CRDB Malkia wakati wa Mkutano Mkuu wa Pili na Madirisha uliofanyika jumamosi hii katika Kituo cha...
Share:

Saturday, December 12, 2020

Wafanyakazi Wa Benki Ya Absa Wajitolea Kusaidia Watoto

Mkuu wa Huduma za Kibiashara wa Benki ya Absa Tanzania, Pius Makalle akikabidhi baadhi ya vitu walivyotoa msaada kwa Meneja wa Mahabusu ya Watoto Upanga, Darius Damas (wa tano kushoto), kituoni hapo, Upanga, Dar es Salaam Jana. Katika hafla hiyo wafanyakazi hao walikabidhi...
Share:

Monday, December 7, 2020

STAMICO YAPATA TUZO YA MFANYABIASHARA MSHIRIKA BORA, NCHINI INDONESIA

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Dkt.Venance Mwasse akiwa katikati akiwa ameshika tuzo ya Mfanyabiashara na Shirika Bora katika sekta ya madini zilizotolewa na Ubalozi wa Indonesia nchini ,jijini Dar es Salaam.Balozi wa Indonesia nchini akiwa katika picha ya Pamoja mara...
Share:

Tanga Cement yashinda ushindi wa jumla tuzo za NBAA kwa Mwaka 2019

Kamishna wa Fedha anaesimamia sekta za maendeleo kutoka Wizara ya Fedha Dk. Charles Mwamaja (wa pili kushoto), akikabidhi tuzo ya ushindi wa kwanza wa kipengele cha Wazalishaji Bora katika tuzo za Uwasilishaji Bora wa Taarifa za Mahesabu za Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi...
Share:

Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive