Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda akikabidhi cheti cha shukrani kwa Kaimu Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Benjamin Nkaka (kushoto), kwa kutambua mchango wa benki hiyo katika kufanikisha kongamano la wanawake lililopewa jina la ‘Madirisha’...
Thursday, October 31, 2019
Tuesday, October 29, 2019
NBC YAENDELEA KUIMARISHA HUDUMA ZA KIDIGITALI
Mkuu wa Kitengo cha Fedha Taslim na Miamala kwa Wateja Wakubwa na wa Kati wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Jimmy Myalize akizungumza na baadhi ya wateja wao wa makampuni wa jijini Mwanza, walipokutana na kufanya mazungumzo nao wakiwafahamisha huduma mbalimbali zitolewazo...
Monday, October 28, 2019
Benki ya DCB yadhamini Tuzo za Ubora wa Elimu Tanzania
Waziri katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Suleiman Jaffo, akikabidhi cheti cha shukurani kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto), kwa kutambua udhamini wa benki hiyo katika hafla ya kutoa Tuzo za Ubora wa Elimu...
Friday, October 25, 2019
Benki ya NBC yasaidia ujenzi wa miundombinu ya afya na elimu jijini Mbeya
Naibu waziri Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Mary Mwanjelwa (wa tatu kulia) akipokea msaada wa mifuko 600 ya saruji kutoka kwa Meneja wa Benki ya NBC Kanda ya Kusini, Salema Kileo (wa pili kushoto), pamoja na baadhi ya wafanyakazi wenzake, iliyotolewa...
Thursday, October 24, 2019
WAKANDARASI WALIOLETA "JANJAJANJA" MIRADI YA UJENZI DAR WAKAMATWA NA POLISI KWA AGIZO LA RC MAKONDA

Wakandarasi wa Kampuni za CHICCO Engineering na Nyanza Road Work leo wamekamatwa na Jeshi la Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam kwa agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ambae ameagiza kukamatwa kwa wakandarasi hao kwa kosa la Kushindwa kutekeleza...
Barclays Bank continues to invest in Tanzania’s key growth sectors as the bank transitions into Absa
Barclays Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed addresses participants during the bank’s Corporate Clients Economic Forum held in Dar es Salaam on Wednesday.
Barclays Bank Tanzania (BBT) Board Chairman, Simon Mponji (left), shakes hands with Absa Group Deputy Chief...
Wednesday, October 23, 2019
SELCOM NA PUMA YAZINDUA BOMBA WEEKEND
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa kampuni ya Selcom Baguma Ambarei (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari akitoa mfano wa kulipia mafuta kwa kutunia Mastercard kwa wamiliki magari wanaotumia vituo vya mafuta ya Puma kwa ushirikiano Makampuni...
Tuesday, October 22, 2019
BENKI YA KCB TANZANIA YAWANOA VIJANA
Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu kazi , vijana na ajira, Anthony Mavunde (wapili kushoto), akimkabidhi ruzuku ya gari aina ya kirikuu kwa Janeth Kipangula, mfanya biashara wa vifaa vya ujenzi wakati wa ambaye ni mmoja wa wanawake 256 ambao walipokea mafunzo ya uendeshaji...
Benki ya DCB yashinda tuzo ya Soko la Hisa la Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (wa tatu kushoto), akikabidhi tuzo ya mshindi wa tatu katika kitengo cha makampuni bora ya mwaka katika eneo la uwekezaji katika sekta za kibenki kwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria wa Benki ya Biashara...
Friday, October 18, 2019
BENKI YA KCB YASAFIRISHA WAFANYABIASHARA KWENDA CHINA.
Mkuu wa kitengo wa wateja rejareja Masika Mukule akikabidhi tiketi kwa mmoja
wa wafanya biashara wa vipodozi Irene Moshi, wakati wa kuwakabidhi tiketi
wateja wa benki hiyo ambao wanakwenda nchi china kukutana na wazalishaji wa
bidhaa mbalimbali ili kuepuka kusumbuliwa...
Wednesday, October 16, 2019
RC MAKONDA AMTAKA MKANDARASI WA KAMPUNI YA MISTECO KUKABIDHI JENGO LA MAMA NA MTOTO HOSPITAL YA MWANANYAMALA KABLA YA DISEMBA 30

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo October 16 ametembelea na kukagua ujenzi wa Jengo la Gorofa tano la Mama na Mtoto Hospital ya Rufaa ya Mwananyamala na kumtaka Mkandarasi wa jengo hilo Kutoka Chuo cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kuongeza kasi na masaa...
Benki ya NBC yatoaelimu ya bima ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja

Ofisa wa Bima wa Benki
ya NBC, Catherine Ngowi (kulia) akitoa elimu ya masuala ya bima n aina
mbalimbali ya huduma za bima zitolewazo na NBC kwa ammoja wa wateja
wa benki hiyo, Miryam Mjema ikiwa ni moja ya matukio katika kuadhimisha
Mwezi wa Huduma kwa...