Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati) akisaini mkataba wa ushirikiano katika ya NBC na Kampuni ya Bima ya Sanlam, jijini Dar es Salaam wiki iliyopita. Kulia kwake ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam General Tanzania, Manasseh Kawoloka na kushoto kwake ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Sanlam Life Tanzania, Khamis Suleman. Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma za kibenki pamoja na huduma za bima za bidhaa zake ndani ya matawi ya NBC nchini kote Waliosisima kutoka kushoto ni, Meneja Uenezaji Biashara na Masoko wa Sanlam General, Jabir, Kigoda, Mkuu wa Idara ya Bima wa NBC, Benjamin Nkaka na Meneja Mkuu Bima Binafsi wa Sanlam Life, Wilson Mnzava.
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati) Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam General Tanzania, Manasseh Kawoloka (kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Sanlam Life Tanzania, Khamis Suleman (kulia), wakifurahi baada ya utiaji saini makubaliano ya ushirikiano. Wa pili kutoka kushoto ni Meneja Uenezaji Biashara na Masoko wa Sanlam General, Jabir, Kigoda, Mkuu wa Idara ya Bima wa NBC, Benjamin Nkaka na Meneja Mkuu Bima Binafsi wa Sanlam Life, Wilson Mnzava. Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma za kibenki pamoja na huduma za bima za bidhaa zake katika matawi ya NBC nchini kote
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati), akizungumza katika hafla ya utiaji saini makubaliano ya ushirikiano katika ya benki hiyo na Kampuni ya Bima ya Sanlam. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam General, Manasseh Kawoloka na kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam Life, Khamis Suleiman. Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma za kibenki pamoja na huduma za bima za bidhaa zake katika matawi ya NBC nchini kote.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Sanlam General, Manasseh Kawoloka (kushoto), akisaini mkataba wa ushirikiano katika ya NBC na Sanlam. Katikati ni Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa NBC, Filbert Mponzi na kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam Sanlam Life Insurance, Khamis Suleiman. Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma za kibenki pamoja na huduma za bima za bidhaa zake katika matawi ya NBC nchini kote
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati) Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam General Tanzania, Manasseh Kawoloka (kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Sanlam Life Tanzania, Khamis Suleman (kulia), wakifurahi baada ya utiaji saini makubaliano ya ushirikiano. Wa pili kutoka kushoto ni Meneja Uenezaji Biashara na Masoko wa Sanlam General, Jabir, Kigoda, Mkuu wa Idara ya Bima wa NBC, Benjamin Nkaka na Meneja Mkuu Bima Binafsi wa Sanlam Life, Wilson Mnzava. Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma za kibenki pamoja na huduma za bima za bidhaa zake katika matawi ya NBC nchini kote
Ni furaha tu baada ya Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati) Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam General Tanzania, Manasseh Kawoloka (kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Sanlam Life Tanzania, Khamis Suleman (kulia), kusaini mkataba wa ushirikiano. Wa pili kutoka kushoto ni Meneja Uenezaji Biashara na Masoko wa Sanlam General, Jabir, Kigoda, Mkuu wa Idara ya Bima wa NBC, Benjamin Nkaka na Meneja Mkuu Bima Binafsi wa Sanlam Life, Wilson Mnzava. Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma za kibenki pamoja na huduma za bima za bidhaa zake katika matawi ya NBC nchini kote.
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati) akisaini mkataba wa ushirikiano katika ya benki hiyo na Kampuni ya Bima ya Sanlam, jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam General Tanzania, Manasseh Kawokol na kushoto kwake ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Sanlam Life Tanzania, Khamis Suleman. Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma za kibenki pamoja na huduma za bima za bidhaa zake ndani ya matawi ya NBC nchini kote Waliosisima kutoka kushoto ni, Meneja Uenezaji Biashara na Masoko wa Sanlam General, Jabir, Kigoda, Mkuu wa Idara ya Bima wa NBC, Benjamin Nkaka na Meneja Mkuu Bima Binafsi wa Sanlam Life, Wilson Mnzava.
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati) Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sanlam General Tanzania, Manasseh Kawoloka (kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Sanlam Life Tanzania, Khamis Suleman (kulia), wakipiga picha baada ya kutia saini mkataba wa ushirikiano. Wa pili kushoto ni Meneja Uenezaji Biashara na Masoko wa Sanlam General, Jabir, Kigoda, Mkuu wa Idara ya Bima wa NBC, Benjamin Nkaka na Meneja Mkuu Bima Binafsi wa Sanlam Life, Wilson Mnzava. Ushirikiano kati ya NBC na Sanlam utawawezesha wateja kupata huduma za kibenki pamoja na huduma za bima za bidhaa zake katika matawi ya NBC nchini kote.
0 comments:
Post a Comment