A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


  • CRDB Bank Share up 16PC in three weeks

    CRDB bank share price has made an abrupt U-turn after appreciating by 16 per cent in the last three weeks.

  • TIB slashes losses, bad loans up!

    TIB Development Bank has considerably reduced its net loss 17 times to 582m/- in this year quarter two (Q2) after cutting expenses.

  • MALINZI blesses TFF elections

    THE ousted Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi has expressed gratitude to the government, sponsors and football stakeholders in the country for their massive support.

  • Barrick, government talks next week

    BARRICK Gold will begin discussions with the government on the concentrate export ban and other issues next week

Monday, October 30, 2017

Barclays Bank Tanzania launches its ultra-modern branch in Moshi


Kilimanjaro Regional Commissioner, Ms. Anna Mghwira (centre), cuts a ribbon to officially open a new branch of Barclays Bank Tanzania in Moshi last weekend. Looking on the right is  Barclays Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed; on the left,  BBT Moshi Branch Manager, Ibrahim Omari  and Moshi District Commissioner, Kipi Warioba.

Kilimanjaro Regional Commissioner, Ms. Anna Mghwira (centre), listens to Barclays Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed (left) during the opening ceremony on BBT Moshi branch. Looking on are Moshi District Commissioner, Kipi Warioba (right), BBT Moshi Branch Manager, Ibrahim Omari (second right),  and Barclays Tanzania Head of Customers Network, John Beja (second left).
Kilimanjaro RC. Anna Mghwira (left), being welcomed by Barclays Bank Tanzania Head of Marketing and Corporate Relations, Arona Luhanga.
 Barclays Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed giving his welcoming remarks during the opening ceremony of BBT Moshi branch in Moshi, Kilimanjaro last weekend.
 Moshi District Commissioner, Kipi Warioba (second left), talking to Barclays Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed (right), during the official opening ceremony of BBT Moshi branch last weekend. Looking on are, Barclays Tanzania Head of Customers Network, John Beja (left), and Moshi Municipal Mayor, Raymond Mboya.
 Barclays Bank Tanzania Managing Director, (third left), poses for a memento photograph with some Moshi branch officials after the ceremony.  
Share:

Friday, October 27, 2017

TANGA CEMENT YASAIDIA UKARABATI WA SHULE MKOANI SHINYANGA

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Halmashauri ya Shinyanga,  Gulamhafeez Abubakar Mukadam (wa pili kulia), akipokea msaada wa mifuko 500 ya saruji kutoka kwa Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Mhandisi Ben Lema, iliyotolewa na kampuni hiyo kuchangia ukarabati wa miundombinu katika shule za mkoani Shinyanga. Hafla ya makabidhiano ya saruji hiyo yenye thamani ya shs 6,047,500 ilifanyika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga hivi karibuni. Katikati yao ni Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Tanga, Radhiya Msuya na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TCPLC.
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Halmashauri ya Shinyanga,  Gulamhafeez Abubakar Mukadam (wa sita kushoto), akihojiwa na waandishi wa habari mara baada ya kupokea msaada wa mifuko 500 ya saruji kutoka kwa Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Mhandisi Ben Lema (wanne kushoto), iliyotolewa na kampuni hiyo kuchangia ukarabati wa miundombinu katika shule za Mkoani wa Shinyanga. Hafla ya makabidhiano ya saruji hiyo yenye thamani ya shs 6,047,500 ilifanyika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga mwishoni mwa wiki. Wa tano kushoto ni Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Tanga, Radhiya Msuya na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya TCPLC.
Ofisa Mawasiliano wa Tanga Cement, Hellen Maleko (kushoto), akizungumza kabla ya tukio la makabidhiano ya msaada wa saruji kwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Halmashauri ya Shinyanga,  Gulamhafeez Abubakar Mukadam (wa pili kulia).
Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Tanga Cement, Mtanga Noor (kushoto), akisalimiana na Mstahiki Meya Gulamhafeez Abubakar Mukadam wakati akiwasili katika kiwanda cha saruji cha kampuni hiyo, Pongwe nje kidogo ya mji wa Tanga kupokea msaada huo. Katikati ni Meneja Kiwanda wa Tanga Cement, Mhandisi Ben Lema.
Meneja Kiwanda wa Tanga Cement, Mhandisi Ben Lema (kushoto), akisalimiana na Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Tanga, Radhiya Msuya huku Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Shinynga, Gulamhafeez Abubakar Mukadam (katikati), akiangalia katika hafla hiyo ambayo Tanga Cement ilikabidhi msaada wa mifuko 500 ya saruji kusaidia shughuli za ukarabati wa miundombinu katika shule za manispaa ya Shinyanga. Kulia kabisa ni Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya nje wa kampuni hiyo, Mtanga Noor.
Share:

Benki za TPB na Mwalimu Commercial Bank zaingia makubaliano ya ushirikiano

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi (wa pili kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank (MCB),Ronald Manongi, wakibadilishana hati za makubaliano jijini Dar es Salaam leo ambapo wateja wa benki ya upande mmoja wataweza kupata huduma za kibenki katika matawi ya  benki ya upande mwingine.  
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi ( kushoto waliokaa) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank (MCB),Ronald Manongi, wakisaini hati za makubaliano jijini Dar es Salaam leo ambapo wateja wa benki ya upande mmoja wataweza kupata huduma za kibenki katika matawi ya  benki ya upande mwingine.  
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi ( kushoto waliokaa) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank (MCB),Ronald Manongi, wakisaini hati za makubaliano jijini Dar es Salaam leo ambapo wateja wa benki ya upande mmoja wataweza kupata huduma za kibenki katika matawi ya  benki ya upande mwingine.  
 :Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank (MCB),  Ronald Manongi (kulia),  akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya utiaji saini makubaliano ya ushirikiano kati ya MCB na Benki ya TBP ambapo wateja wa benki ya upande mmoja wataweza kupata huduma za kibenki katika matawi ya  benki ya upande mwingine. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi.  

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya TPB, Sabasaba Moshingi (wa tano kushoto) akishikana mikono na  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Mwalimu Commercial Bank (MCB),Ronald Manongi mara baada ya kumalizika kwa tukio la utiaji saini makubaliano hayo. Pamoja nao ni baadhi ya maofisa wa benki za TPB na MC
Share:

Tuesday, October 24, 2017

Huduma mbalimbali zaboresha NBC ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja

Wafanyakazi wa Benki ya NBC Tawi la Samora wakipozi kwa picha ya pamoja wakiwa katika umbo la moyo ikiwa ni ishara ya kuonyesha upendo na ukarimu kwa wateja wao kipindi hii benki yao ikiendelea kuadhimisha mwezi wa huduma kwa wateja.
Mteja wa Benki ya NBC, Neema Xibona (kulia) akionyesha furaha mbele ya wafanyakazi wa benki hiyo Tawi la Samora, Dar es salaam ambapo sasa NBC inaendelea kuadhimisha mwezi wa huduma kwa wateja. Wafanyakazi hao wanatumia muda wao kuwa karibu na wateja kusikiliza maoni yao kuhusu huduma na changamoto wazipatazo na kuzitafutia ufumbuzi.
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Mbagala, Sady Mwang’onda (kulia), akizungumza na mmoja wa wateja, Elias Kaaya alipofika katika tawi lake kupata huduma.
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Kichwele, Frank Mwanga (kushoto), akisalimiana na mmoja wa wateja waliofika katika tawi hilo jijini Dar es Salaam kupata huduma ambapo pia alipata nafasi ya kutoa maoni yake kuhusu huduma zinazotolewa na benki hiyo.
Wafanyakazi wa Benki ya NBC Tawi la Chang’ombe wakirusha maputo pamoja na wateja wao kusherehekea mwezi wa huduma kwa wateja wa benki hiyo.

Meneja wa NBC Tawi la Samora, Faustina Maeda, akimkaribisha Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC, James Kinyanyi (kulia) alipotembelea katika tawi hilo kuangalia ubora wa huduma zinazotolewa kwa wateja na pia alipata nafasi ya kuzungumza na baadhi ya wateja.
Share:

Sherehe za Siku ya Wanafamilia wa Tanga Cement zafana


Baadhi ya wafanyakazi na wanafamilia wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), wakiwavuta wenzao  ili kumpata mshindi  katika mchezo wa kuvuta kamba katika sherehe za Siku ya Wanafamilia wa kampuni hiyo katika Uwanja wa Mkwawani mjini Tanga hivi karibuni.


Mtifuano wa kutafuta mshindi katika mchezo wa kuvuta kamba ukiendelea.


Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Saruji Tanga wakishangilia baada ya kukabidhiwa keki maalumu ya kusherehekea siku ya wanafamilia wa kampuni hiyo katika Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.


Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Diana Malambugi (kushoto), akishikana mikono na mmoja wa wanafamilia wa Tanga Cement.


Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Diana Malambugi (kushoto), akikabidhi zawadi kwa baadhi ya wafanyakazi na familia zao waliohudhuria sherehe hizo.


Meneja Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Mtanga Noor (kushoto), akizungumza na wafanyakazi na wanafamilia wa kampuni hiyo katika sherehe za Siku ya Wanafamilia wa kampuni hiyo katika Uwanja wa Mkwawani mjini Tanga.


Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga (TCPLC), Diana Malambugi (kushoto), akizungumza na wafanyakazi na wanafamilia wa kampuni hiyo katika sherehe za Siku ya Wanafamilia wa kampuni hiyo katika Uwanja wa Mkwawani mjini Tanga
Share:

Friday, October 20, 2017

NBC yapongezwa kwa kusapoti VICOBA

01
Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Philip Mpango akifurahi pamoja na baadhi ya washiriki zaidi ya 1000 wakati maadhimisho ya Siku ya VICOBA jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Benki ya NBC ilikuwa mmoja ya wadhamini wakuu wa maadhimisho hayo.
02.
Katibu Mtendaji  wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’i Issa akizungumza katika maadhimisho hayo.
03
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto) akikabidhi cheti cha shukurani kwa Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Fibert Mponzi kwa kutambua mchango wa benki hiyo katika kufanikisha maadhimisho ya Siku ya VICOBA nchini. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Sihaba Nkinga.
04
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi akishikana mikono na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), John Jingu (kushoto) mara baada ya kupokea cheti kutoka kwa mheshimiwa waziri wa fedha.
05
Mkururugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (wa pili kulia), akishikana mikono mmoja wa washiriki wa maadhimisho ya Siku ya VICOBA. Wanaongalia wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Biashara wa NBC, Elvis Ndunguru na Meneja Masoko, Alina Maria Kimaryo. NBC ilikuwa mmoja ya wadhamini wakuu wa maadihimisho hayo.
06
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto), akipokea bango lililoandikwa ujumbe wa kuishukuru serikali kwa kuiunga mkono VICOBA kutoka kwa mmoja wa wanachama wa VICOBA, Devota Likolola (wa pili kulia). Katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’i Issa.
07
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi akishikana mikono na Katibu Mtendaji wa NEEC, Beng’i Issa (kushoto), wakati wa maadhimisho hayo. Maadhimisho ya Siku ya VICOBA yalihudhuriwa na washiriki zaidi ya 1000 na Benki ya NBC ilikuwa ni mmoja wa wadhamini wakuu.
08
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi  huku Katibu Mtendaji wa NEEC, Beng’i Issa (katikati), akifurahia wakati wa maadhimisho hayo. Benki ya NBC ilikuwa ni mmoja ya wadhamini wakuu wa maadhimisho ya Siku ya VICOBA.
09
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kushoto), akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mahusiano wa NBC, William Kallaghe (kulia), huku Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa NBC, Filbert Mponzi (katikati) akisikiliza wakati wa maadhimisho hayo.
10
Mkurugenzi wa Biashara wa NBC, Elvis Ndunguru (katikati), akitoa maelezo kuhusu mchango wa benki hiyo katika katika kuwainua na kuwajengea uwezo wajasiriamali wakati wa maadhimisho hayo. Hafla hiyo ilihudhuriwa na washiriki zaidi ya 1000 na kudhaminiwa na NBC.
11
Meneja Masoko wa NBC, Alina Maria Kimaryo, akishikana mikono na Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Beng’i Issa (kulia), wakati wa maadhimisho hayo. Wengine kutoka kushoto waliosimama  ni, Mkurugenzi wa Biashara wa NBC, Elvis Ndunguru na Meneja Mahusiano wa NBC, William Kallaghe.  
Share:

Barclays launches 'TwendeKazi & BaloziMwanafunzi' scholarships programs

Minister for Education, Science and Technology, Prof. Joyce Ndalichako (centre), is convoyed by Barclays Bank Tanzania Board Chairman, Simon Mponji (left), University of Dar es Salaam (UDSM) Deputy Vice Chancellor Research, Prof. Cuthbert Kimambo (right), some Barclays senior officials and invited dignitaries before the launching ceremony of  Barclays internship scholarships programmes in Dar es Salaam yesterday.
Barclays Bank Head of Marketing and Corporate Relations Aron Luhanga (third left), and University of Dar es Salaam (UDSM) Deputy Vice Chancellor Research, Prof. Cuthbert Kimambo, sign contract documents to officiate the launching  of Barclays internship scholarships programmes in Dar es Salaam yesterday. Looking on from left are Barclays Bank Tanzania Board Chairman, Simon Mponji, Barclays Head of Human Resources, Patrick Foya, UDSM  Deputy Corporate Counsel, Dr. Saudin Mwakaje and Minister for Education, Science and Technology, Prof. Joyce Ndalichako.
Minister for Education, Science and Technology, Prof. Joyce Ndalichako (centre), addresses participants during the official launching of Barclays internship scholarships programmes in Dar es Salaam yesterday.
 
A cross section of partakers during the launching ceremony of Barclays internship scholarships programmes in Dar es Salaam yesterday.
Minister for Education, Science and Technology, Prof. Joyce Ndalichako (centre), Barclays Bank Tanzania Board Chairman, Simon Mponji (left) and University of Dar es Salaam (UDSM) Deputy Vice Chancellor Research, Prof. Cuthbert Kimambo (right) in a souvenir photo pose with some Barclays senior officials and other invited dignitaries after the official launching of   Barclays internship scholarships programmes in Dar es Salaam yesterday.
Minister for Education, Science and Technology, Prof. Joyce Ndalichako (centre), Barclays Bank Tanzania Board Chairman, Simon Mponji (left) and University of Dar es Salaam (UDSM) Deputy Vice Chancellor Research, Prof. Cuthbert Kimambo (right) pose for a memento picture with  some senior Barclays officials and some invited dignitaries after the official launching of   Barclays internship scholarships programmes in Dar es Salaam yesterday.
Minister for Education, Science and Technology, Prof. Joyce Ndalichako (centre), Barclays Bank Tanzania Board Chairman, Simon Mponji (left) Junior Achievement Tanzania Director,  Hamis Kasongo (right), pose for a reminder photo with  some Barclays senior officials, representative
Share:

Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive