A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Monday, August 14, 2017

WAZIRI MKUU ZIARANI TABORA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali leo Mkoani Tabora kabla ya kuondoka kwaajili ya kurejea Dodoma baada ya kumaliza ziara yake mkoani humo.  
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiagana na Mbunge wa Manonga Seif Khamis Gulamali katika Viwanja vya Ndege vya Tabora tayari kwa safari ya kurudi Mkoani Dodoma kikazi. (Picha na Raymond Urio)
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive