Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba
(watatukushoto),akikata utepe kuzindua tawi jipya la Benki ya Diamond Trust (DTB),jijini Dar es Salaam jana.wapili kulia
ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Viju Cherian na wengine ni maofisa wa
DTB.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia,January Makamba akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es
Salaam jana katika uzinduzi watawi jipya la Benki ya Diamond Trust (DTB) mtaa wa Uhuru, Kariakoo
Naibu Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,January Makamba (kushoto), akimsikiliza
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Diamond Trust (DTB),Viju Cherian katika
uzinduzi wa tawijipya la benki hiyo mtaa wa Uhuru jijini Dar es
Salaam jana.
0 comments:
Post a Comment