A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Wednesday, August 30, 2017

Tuzo za Mwajiri Bora 2017 zazinduliwa jijini Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), Dk.Aggrey Mlimuka (kulia), akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki wakati wa uzinduzi wa Tuzo za Mwajiri Bora (EYA) za mwaka 2017, zinatotarajiwa kutolewa baadae mwaka huu.Kushoto ni Joyce Nangai Ibengwe Mratibu wa tuzo hizo. 
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakihudhuria uzinduzi wa Tuzo za Mwajiri Bora za Mwaka 2017 jijini Dar es Salaam ambako Mkurugenzi Mtendaji wa ATE, Dk. Aggrey Mlimuka (mbele, katikati) alizungumza nao.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive