Mshambuliaji machachari wa timu ya soko ya Lold Ayes, Abdallah Sultani, akijaribu kumtoka kiungo wa timu ya Miyosha FC wakati wa mechi ya mashindano ya PROPHET SUGUYE CUP,yanayoendelea katika viwanja vya misitu Kivule Matembele ya pili ambapo timu ya Lord Eyes FC iliibuka kidedea kwakuichabanda timu ya Miyosha FC kwa mabao 4-1 mchezo huo umefanyika jana.
Kocha wa timu ya Lord Eyes Imani Mwaikonyole akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa wa mchezo wao zidi ya Miyosha FC katika viwanja vya misitu Kivule Matembele ya pili ambapo timu ya Lord Eyes FC iliibuka kidedea kwakuichabanda timu ya Miyosha FC kwa mabao 4-1 mchezo huo umefanyika jana.
Baadhi ya mashabiki wa timu ya Lord Eyes wakishangilia ushindi wa timu yao kuibuka kidedea katika mchezo huo.
Kocha Msaidizi wa timu ya Lord Eyes Joseph Mbezu akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa wa mchezo wao zidi ya Miyosha FC katika viwanja vya misitu Kivule Matembele ya pili ambapo timu ya Lord Eyes FC iliibuka kidedea kwakuichabanda timu ya Miyosha FC kwa mabao 4-1 mchezo huo umefanyika jana.
Baadhi ya Viongozi na waandaaji wa michuano hiyo wakiwa viwanjani kushuhudia mtanange.
Mratibu wa Mashindano ya Suguye Cup Robert Mjuni akiwa na Katibu wa Kamati ya uwaandaaji wa michuano hiyo wakiwa katika harakati za kupitia ripoti mbalimbali za michuano hiyo.
Mapema wanafunzi wa shule ya msingi Misitu wakishiriki kuandaa uwanja wa Mashindano ya Prophet Suguye Cup kabla ya mtanange huo kuanza.

0 comments:
Post a Comment