Mshambuliaji wa timu ya Airwing FC Ibrahim Juma, mwenye jezi ya bluu akijaribu kumtoka beki wa TP Malaika ya Machimbo, wakati wa mchezo wa ligi ya PROPHET SUGUYE CUP inayoendelea katika viwanja vya Shule ya Msingi Misitu Kivule nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam...
Friday, May 31, 2019
Thursday, May 30, 2019
Benki ya NBC na Asasi ya Sekta Binafsi ya Kilimo (PASS) zaingia makubaliano kusaidia Kilimo Biashara nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (wa pili kushoto), akibadilishana hati za mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa miaka mitano na Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Kusaidia Sekta Binafsi ya Kilimo (PASS), Nicomed Bohay, makabaliano yatakayoiwezesha NBC kusaidia...
Wednesday, May 29, 2019
Benki ya Biashara ya DCB yazindua akaunti ya muda maalum ijulikanayo kama ‘DCB Lamba Kwanza’
Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya Biashara ya DCB , James Ngaluko (wa tatu kushoto) akizungumza jijini Dar es Salaam leo, wakati wa uzinduzi wa akaunti mpya ya muda maalum ijulikanayo kwa jina la ‘DCB Lamba Kwanza’ inayomuwezesha mteja kupata riba ya hadi asilimia 14 papo...
MAZOUK PRODUCTION - FOOD SAFETY TRAINING FOR HOTELS AND CATERS DAR ES SALAAM TANZANIA
Food safety trainings came into existence in the late 1950s, being firstly invented by a US based food processing company in association with NASA during the space program.
The target was to create quality in food products that would ensure safety and health of...
Azam yachabangwa 1-0 na Magereza Dar Prophet Suguye Cup 2019
Mshambuliaji machachali wa timu ya Magereza, Franki William, akijaribu kumtoka beki wa kushoto wa timu ya Azam Poly sacks Iddi Ramadhani, wakati wa mchezo wa ligi inayokwenda kwa jina la PROPHET SUGUYE CUP iliyoendelea jana tarehe 28.5.2019 katika viwanja vya Misitu Kivule...
Tuesday, May 28, 2019
Lord Eyes FC yaichabanga Miyosha FC 4-1 wakati wa mechi ya mashindano ya PROPHET SUGUYE CUP
Mshambuliaji machachari wa timu ya soko ya Lold Ayes, Abdallah Sultani, akijaribu kumtoka kiungo wa timu ya Miyosha FC wakati wa mechi ya mashindano ya PROPHET SUGUYE CUP,yanayoendelea katika viwanja vya misitu Kivule Matembele ya pili ambapo timu ya Lord Eyes FC iliibuka...
LSF announces plans to broaden legal aid services in Tanzania

Newly-appointed Chief Executive Officer of the Legal Services Facility (LSF), Ms. Lulu Ng’wanakilala speaking to the legal aid stakeholders in Dar es Salaam yesterday at the special function to welcome her to the organization (LSF).
Legal aid stakeholders following...
Monday, May 27, 2019
Uzinduzi wa Prophet Suguye Cup wafana

Mwangalizi Mkuu wa Kanisa la WRM, Nabii Nicholaus Suguye, ambaye pia ndio Muanzilishi wa Mashindano ya ligi ya Mchezo wa mpira wa miguu iliyopewa jina la PROPHET SUGUYE CUP, akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa mashindano hayo katika viwanja vya Misitu vilivyopo Kivule...