Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza wa Benki ya NBC, Dorothea Mabonye (kushoto), pamoja na Meneja Masoko wa benki hiyo, Alina Maria Kimaryo (wa pili kushoto), wakiagana na mmoja wa washindi wa kampeni ya Ibuka Kidedea na NBC Malengo, Ramdhani Saidi (kulia) muda mfupi kabla ya kuondoka...
Monday, December 30, 2019
Saturday, December 28, 2019
NBC yawapongeza na kuwaaga Washindi wake wa Kampeni ya “IBUKA KIDEDEA”
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Elibariki Masuke (katikati) akimkabidhi tiketi ya ndege mmoja wa washindi wa kampeni ya Ibuka Kidedea na NBC Malengo, Jocelyne Rwechungura aliyejishindia safari ya kwenda Sychelles wakati wa hafla ya kuwaaga washindi...
Saturday, December 21, 2019
NBC yazindua Kampeni ya Bima ya magari kipindi hiki cha sikukuu kwa kushirikiana na SANLAM
Mkuu wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Elibariki Masuke (kulia), akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya bima ya magari inayowalenga zaidi watumia vyombo vya usafiri katika msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kampeni iliyozinduliwa na NBC kwa kushirikiana na Kampuni...
Friday, December 20, 2019
Benki ya DCB yazindua Mkopo wa Ada ya Shule
Mkurugenzi wa Biashara wa Benki ya Biashara ya DCB, James Ngaluko (wa pili kulia), akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma ya mkopo maalumu wa ada ya shule jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Balozi wa DCB Skonga, Zamaradi Mketema,...
Thursday, December 19, 2019
ATE yatoa Tuzo kwa Mwajiri Bora 2019
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, na wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama (MB)akihutubia wageni waalikwa wakati wa hafla yaTuzo ya mwaajiri bora wa mwaka 2019 iliyoandaliwa na Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) katika Hotel ya Serena jijini Dar es...
Wednesday, December 18, 2019
Benki ya DCB yaziasa familia kushiriki mazoezi ya viungo
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Biashara ya DCB, pampja na wakimbiaji wengine wakipasha viungo wakati wa mashindano ya Familia Marathon yaliyofanyika katika viwanja vya Chumvi, Bahari Beach jijini Dar es Salaam hivi karibuni. DCB ilidhamini tukio hilo.
Baadhi ya...
Monday, December 16, 2019
Swissport yatoa msaada wa machine mbili zenye thamani ya Sh.Milioni 12.6 katika Hospitali ya Temeke

Kaimu Mganga Mkuu wa hospitali ya Wilaya ya Temeke, Dk. Serafini .K. Patrice (kushoto) akipokea moja ya mashine zenye thamani ya shilingi milioni 12.6 ijulikanayo kwa jina la Patient Monitor inayofuatilia muenendo wa afya ya mgonjwa kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Swissport...
Saturday, December 14, 2019
KAMPUNI YA VISA YAWAFANYIA MAKUBWA WATEJA WAKE
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo fleve wanaounda kundi la NAVY KENZO Emmanuel Mkono pamoja na Aika Marealle ambao ni Mabalozi wa Visa, wakipiga picha ya pamoja na mmoja ya wateja na familia yake alipokwenda kufanya manunuzi kwakutumia kadi...
Benki ya NBC yakutana na wateja wake kuwashukuru kwa mahusiano bora kwa mwaka 2019

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi wa Fedha wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Abdallah Mwaduga katika hafla waliyowaandalia wateja wao jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya kutoa shukurani...