Mkurugenzi wa
Fedha wa Benki ya Biashara ya DCB, Zacharia Kapama (kushoto), akizungumza
katika hafla ambayo DCB ilizindua zoezi la uuzaji wa hisa kwa mwaka 2018,
jijini Dar es Salaam jana.Uzinduzi huo unawalenga wanahisa waliopo, wawekezaji
wapya na umma wa watanzania ikizingatiwa kuwa kwa mara ya mwisho DCB ilitoa
fursa kama hiyo mwaka 2012.
Mwenyekiti wa Bodi
ya Wakurugenbzi wa DCB, Prof. Lucian Msambichaka (wa tano kulia), akizungumza
katika hafla ya uzinduzi wa uuzaji hisa za benki hiyo kwa mwaka 2018 jijini Dar
es Salaam jana. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa DCB, Godfrey Ndalahwa
na maofisa wengine wa benki hiyo. Uzinduzi huo unawalenga wanahisa
waliopo, wawekezaji wapya na umma wa watanzania ikizingatiwa kuwa kwa mara ya
mwisho DCB ilitoa fursa kama hiyo mwaka 2012.
Rais Mstaafu wa
Awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa (kulia), akikabidhi hundi kwa Mwenyekiti
wa Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Prof. Lucian Msambichaka baada ya kununua
hisa za benki hiyo muda mfupi baada ya DCB kuzindua zoezi la uuzaji wa hisa kwa
mwaka 2018, jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa DCB,
Godfrey Ndalahwa. Uzinduzi huo unawalenga wanahisa waliopo, wawekezaji wapya na
umma wa watanzania ikizingatiwa kuwa kwa mara ya mwisho DCB ilitoa fursa kama
hiyo mwaka 2012.
Baadhi ya
wafanyakazi wa DCB na waalikwa wengine wakihudhuria halfla hiyo jijini Dar es
Salaam jana.
Rais Mstaafu wa
Awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa (kulia), akisalimiana na Mwenyekiti wa
Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Prof. Lucian Msambichaka ofisini kwake Dar es
Salaam jana wakati akinunua hisa za benki hiyo muda mfupi baada ya DCB kuzindua
zoezi la uuzaji wa hisa kwa mwaka 2018. Kushoto ni Mkuu wa Masoko na
Mawasiliano wa DCB, Rahma Ngassa na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Godfrey
Ndalahwa.
Mwwenyekiti wa
Bodi DCB, Prof. Lucian Msambichaka (katikati), akipozi kwa picha ya kumbukumbu
na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo na waalikwa wengine baada ya tukio la
uzinduzi wa uuzaji wa hisa za benki hiyo jijini Dar es Salaam jana.
0 comments:
Post a Comment