A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Thursday, November 29, 2018

Benki ya Barclays yatoa msaada wa vitabu kwa shule za msingi wilayani Ilala

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania (BBT) Abdi
Mohamedi,(kushoto) akikabidhi msaada wa vitabu kwa  Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko, Anna Mshana katika hafla ambayo benki hiyo ilitoa msaada wa vitabu katika shule za msingi
Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam  jana, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika shuleni hapo . Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Sophia Mjema

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania (BBT) Abdi
Mohamedi,(kushoto) akikabidhi msaada wa vitabu kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Gogo, Simon Mdendemi, katika hafla ambayo Barclays ilitoa msaada wa vitabu katika shule za msingi tano za Manispaa ya Ilala, wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko jijini Dar es Salaam hapo . Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala,  Sophia Mjema.
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (katikati), akikabidhi msaada wa
vitabu vilivyotolewa na Benki ya Barclays Tanzania kwa Mwalimu Mkuu  wa Shule ya Msingi Mafanikio, Kandidus Ndiwu, katika hafla ambayo Barclays ilitoa msaada wa vitabu kwa shule za msingi za Manispaa ya Ilala iliyofanyika katika  Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko . Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania (BBT) Abdi Mohamedi  na wengine wanaoshuhudia ni baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo na baadhi ya viongozi wa kamati ya shule.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania (BBT) Abdi
Mohamedi (kushoto), akikabidhi msaada wa vitabu kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kiyombo Magreth Ngombo,  katika hafla ya kutoa msaada wa vitabu kwa shule za msingi za Manispaa ya Ilala jijini  Dar es Salaam iliyofanyika katika  Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko jijini hapo jana. Anayeshuhudia ni  Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema (wa tatu kulia) na wengine ni baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo na uongozi wakamati ya shule.
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akikabidhi msaada wa
vitabu vilivyotolewa na Benki ya Barclays kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Yangeyange, Abraham Gabriel, katika hafla ya kutoa msaada wa vitabu kwa shule za msingi Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam iliyofanyika katika Shule ya Uhuru Mchanganyiko jijini humo jana. Kushoto anayeshhudia ni  ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania (BBT) Abdi Mohamedi,  na wengine ni baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo na baadhi ya viongozi wa kamati ya
shule.
Mkuu wa Wilaya ya Ialala, Sophia Mjema (kushoto), akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Barclays Tanzania katika hafla hiyo.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive