A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


  • CRDB Bank Share up 16PC in three weeks

    CRDB bank share price has made an abrupt U-turn after appreciating by 16 per cent in the last three weeks.

  • TIB slashes losses, bad loans up!

    TIB Development Bank has considerably reduced its net loss 17 times to 582m/- in this year quarter two (Q2) after cutting expenses.

  • MALINZI blesses TFF elections

    THE ousted Tanzania Football Federation (TFF) President Jamal Malinzi has expressed gratitude to the government, sponsors and football stakeholders in the country for their massive support.

  • Barrick, government talks next week

    BARRICK Gold will begin discussions with the government on the concentrate export ban and other issues next week

Thursday, November 29, 2018

KCB BANK TANZANIA HOLDS BIASHARA CLUB WORKSHOP FOR ITS SME CUSTOMERS.

Pic0002
Head of SME and Mortgage of KCB Bank   Mr. Abdul Juma,  speaks with Mwanza business owners and executives  during the KCB Bank Biashara Club Workshop held at Gold Crest Hotel in Mwanza on 29th November 2018. The event attended by more than 150 businesses in the SME sector aimed to build capacity on matters of finance management, record keeping and tax compliance

Pic0001

Trade Sales Manager KCB Bank  Ms. Lightness Mlay, answers questions from Mwanza business owners and executives  during the KCB Bank Biashara Club Workshop held at Gold Crest Hotel in Mwanza on 29th November 2018. The event attended by more than 150 businesses in the SME sector aimed to build capacity on matters of finance management, record keeping and tax compliance. 

KCB Bank Tanzania held the second Biashara Club Workshop for 2018 in
Mwanza, Tanzania just a few months after a successful workshop held in
Dar es Salaam with over 200 business executives in attendance. The
KCB Biashara Club is an initiative by the bank that looks to sharpen
skills on financial management, deliver knowledge on tax compliance as
well as provide networking opportunities for businesses in the SME
sector.

Launched in 2017, KCB Biashara Club has continued to show
commitment to developing the SME sector by providing businesses with
banking and enterprise development services as well as passing on
knowledge in key business management aspects.

The seminar held at the Gold Crest Hotel in Mwanza brought together
over 200 business people from different industries all facing challenges
such as a slow growth rate in business capital, competition and lack of
knowledge on matters of tax compliance among others. KCB Bank
Tanzania main objective is to provide business people with the necessary
skills that will enable them to counter the different challenges.

Speaking at the event, KCB Bank, Mwanza Branch Manager Mr.
Emmanuel Mzava thanked the attending business executives and
reaffirmed that the bank will in the future hold similar workshops in
Mwanza as the bustling city continues to prove that it is an enticing
center for business growth and development.

Mr. Swetbert Thomas a Tax Consultant guru brought in by KCB Bank
Tanzania was the main facilitator for the seminar. He urged the
attending Biashara Club members on the importance of understanding
the country’s tax regulations and the direct impact these tax regulations.
Besides benefiting from the lessons offered in the seminar, members of
Biashara Club also gain from new business connections with other
members of the club that will not only help them develop their business
skills but also broaden their business goals. KCB Bank Tanzania
understands the importance of the SME sector in growing the country’s
economy but also realise that this cannot be achieved if the SMEs do not
have the right skills in developing and managing their businesses.

About KCB Bank

KCB Bank Group is Eastern Africa’s largest commercial Bank that was
established in 1896 in Zanzibar. Over the years, the Bank has grown and
spread its wings across Tanzania, Kenya,South Sudan, Uganda, Rwanda,
Burundi and Ethiopia (Representative office). Today KCB Bank Group has
the largest network in the region with over 262 branches, 962 ATMs and
15,000 agents offering banking services on a 24/7 basis.

KCB Bank Group is listed at the Nairobi Securities Exchange, Uganda
Securities Exchange, Dar es Salaam Stock Exchange and the Rwanda
Stock Exchange. The Group also owns KCB Insurance Agency, KCB
Capital and KCB Foundation.

In Tanzania, KCB Bank opened its doors in 1997 and has since played a
crucial role in the country’s financial sector growth. Currently the bank
has 14 branches across Tanzania and Zanzibar. These branches are
Samora, Mlimani, Uhuru, Msimbazi, Lumumba ,Buguruni, Mbagala and
Oysterbay in Dar es Salaam; Moshi, Zanzibar, Arusha Main and TFA,

Mwanza and Morogoro.
Share:

WAFANYAKAZI WA BENKI YA NBC WAJITOLEA DAMU KUCHANGIA WENYE UHITAJI

Mkurugeni Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi akizungumza na waandishi wa habari akielezea jinsi wafanyakazi wa benki hiyo walivyoguswa katika kujitolea damu kwa ajili ya watu wenye uhitaji.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NBC wakijitolea damu ili kusaidia wenye uhitaji kupitia Mpango wa Taifa wa Damu Salama katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi wa Hazina na Masoko ya Fedha wa NBC, Peter Nalitolela akihojiwa na waandishi wa habari kuhusu zoezi hilo. NBC imeandaa zoezi hilo kwa muda wa siku tatu ambapo wafanyakazi wake watashiriki katika uchangiaji wa damu kwa hiari.
Mmoja wa Wafanyakazi wa NBC, Salama Mussa (kulia), akipimwa damu yake ili kuona kama inakidhi vigezo vya kujitolea damu katika hafla hiyo. Anayempima ni mhudumu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Ndonya Hussein.
Mmoja wa wafanyakazi wa NBC, Jeff Ndossa (kulia), akijitolea damu ili kusaidia wenye uhitaji kupitia Mpango wa Taifa wa Damu Salama katika hafla iliyoandaliwa na NBC jijini Dar es Salaam jana. Anayemtoa damu ni mhudumu kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama, Ali Juma.
Share:

Benki ya Barclays yatoa msaada wa vitabu kwa shule za msingi wilayani Ilala

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania (BBT) Abdi
Mohamedi,(kushoto) akikabidhi msaada wa vitabu kwa  Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko, Anna Mshana katika hafla ambayo benki hiyo ilitoa msaada wa vitabu katika shule za msingi
Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam  jana, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika shuleni hapo . Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Sophia Mjema

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania (BBT) Abdi
Mohamedi,(kushoto) akikabidhi msaada wa vitabu kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Gogo, Simon Mdendemi, katika hafla ambayo Barclays ilitoa msaada wa vitabu katika shule za msingi tano za Manispaa ya Ilala, wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko jijini Dar es Salaam hapo . Wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala,  Sophia Mjema.
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (katikati), akikabidhi msaada wa
vitabu vilivyotolewa na Benki ya Barclays Tanzania kwa Mwalimu Mkuu  wa Shule ya Msingi Mafanikio, Kandidus Ndiwu, katika hafla ambayo Barclays ilitoa msaada wa vitabu kwa shule za msingi za Manispaa ya Ilala iliyofanyika katika  Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko . Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania (BBT) Abdi Mohamedi  na wengine wanaoshuhudia ni baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo na baadhi ya viongozi wa kamati ya shule.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania (BBT) Abdi
Mohamedi (kushoto), akikabidhi msaada wa vitabu kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kiyombo Magreth Ngombo,  katika hafla ya kutoa msaada wa vitabu kwa shule za msingi za Manispaa ya Ilala jijini  Dar es Salaam iliyofanyika katika  Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko jijini hapo jana. Anayeshuhudia ni  Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema (wa tatu kulia) na wengine ni baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo na uongozi wakamati ya shule.
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akikabidhi msaada wa
vitabu vilivyotolewa na Benki ya Barclays kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Yangeyange, Abraham Gabriel, katika hafla ya kutoa msaada wa vitabu kwa shule za msingi Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam iliyofanyika katika Shule ya Uhuru Mchanganyiko jijini humo jana. Kushoto anayeshhudia ni  ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania (BBT) Abdi Mohamedi,  na wengine ni baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo na baadhi ya viongozi wa kamati ya
shule.
Mkuu wa Wilaya ya Ialala, Sophia Mjema (kushoto), akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Barclays Tanzania katika hafla hiyo.
Share:

Monday, November 26, 2018

NBC MANAGING DIRECTOR COURTESY VISIT TO PCCB

 The Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau ( PCCB ) Commissioner of Police Diwani Athumani (facing camera) speaks to a delegation of NBC  that paid a courtesy visit to his office in Dar es  Saalam on Thursday. The bank’s delegation  (to the bureau chief’s left) was led by NBC Managing Director Theobald Sabi, Director of Corporate Banking Linley Kapya and Public Affairs Manager William Kallaghe.
NBC Managing Director of NBC Theobald Sabi (second left), in a light mood  as he speaks to his host the Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau  Commissioner of Police Diwani Athumani  (left) when the bank CEO paid a courtesy visit to the bureau’s Head Office in Dar es Salaam on Thursday. To his left are senior NBC staff,  Director of Corporate Banking Linley Kapya and Public Affairs Manager, William Kallaghe.
The Managing Director of NBC Theobald Sabi (second left), shakes hands with the Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau Commissioner of Police Diwani Athumani, when the bank CEO paid a courtesy visit to the bureau’s Head Office in Dar es Salaam. The duo are flanked by senior NBC officials, Director of Corporate Banking Linley Kapya (right) and Public Affairs Manager William Kalaghe (left).

The National Bank of Commerce Limited is a registered Commercial Bank in the United Republic of Tanzania.
This e-mail and any files transmitted with it may contain information that is confidential, privileged or otherwise protected from disclosure.


If you are not an intended recipient of this e-mail, do not duplicate or redistribute it by any means.
Please delete it and any attachments and notify the sender that you have received it in error.


Unless specifically indicated, this e-mail is not an offer to buy or sell or a solicitation to buy or sell any securities, investment products or other financial product or service, an official confirmation of any transaction, or an official statement of the National Bank of Commerce Limited. 


Any views or opinions presented are solely those of the author and do not necessarily represent those of the National Bank of Commerce Limited.


This e-mail is subject to terms available at the following link: http://www.nbc.co.tz/disclaimer.
The Disclaimer forms part of the content of this email. 
Share:

Tuesday, November 13, 2018

Barclays yahamasisha watanzania kutumia huduma za kidigitali

01%2B%25281%2529
Meneja Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidigitali wa Barclays Tanzania, Jesse Jackson (kushoto), na Mkuu wa  Mtandao wa Matawi wa benki hiyo, John Beja (kulia), wakikabidhi zawadi ya television kwa Bi. Bright Mwanga mmoja wa washindi wa kampeni inayoendelea ya benki hiyo iliyopewa jina la ‘Tap Tap and Win’ inayohamasisha wateja kutumia huduma za kibenki kwa njia ya kidigitali. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.02%2B%25283%2529
Mshindi wa kampeni ya huduma za kidigitali wa Benki ya Barclays, Bi. Bright Mwanga (kushoto), akizungumza katika hafla hiyo. Kushoto kwake ni, Meneja Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidigitrali wa benki hiyo, Jesse Jackson (kushoto) na Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa benki hiy, John Beja. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. 03%2B%25281%2529
Waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakirekodi tukio hilo. Kampeni ya huduma za kibenki kwa njia za kidigitali inahamasisha wateja kutumia huduma za kibenki kwa njia za kidigitali. Anayezungmza katikakati ni Meneja Huduma za Kibenki kwa njia ya Kidigitali wa Barclays, Jesse Jackson
Share:

Benki ya Biashara ya DCB yazindua uuzaji wa Hisa zake jijini Dar


Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya Biashara ya DCB, Zacharia Kapama (kushoto), akizungumza katika hafla ambayo DCB ilizindua zoezi la uuzaji wa hisa kwa mwaka 2018, jijini Dar es Salaam jana.Uzinduzi huo unawalenga wanahisa waliopo, wawekezaji wapya na umma wa watanzania ikizingatiwa kuwa kwa mara ya mwisho DCB ilitoa fursa kama hiyo mwaka 2012.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenbzi wa DCB, Prof. Lucian Msambichaka (wa tano kulia), akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa uuzaji hisa za benki hiyo kwa mwaka 2018 jijini Dar es Salaam jana. Kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa DCB, Godfrey Ndalahwa na maofisa wengine wa benki hiyo. Uzinduzi huo unawalenga wanahisa waliopo, wawekezaji wapya na umma wa watanzania ikizingatiwa kuwa kwa mara ya mwisho DCB ilitoa fursa kama hiyo mwaka 2012.

Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa (kulia), akikabidhi hundi kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Prof. Lucian Msambichaka baada ya kununua hisa za benki hiyo muda mfupi baada ya DCB kuzindua zoezi la uuzaji wa hisa kwa mwaka 2018, jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa DCB, Godfrey Ndalahwa. Uzinduzi huo unawalenga wanahisa waliopo, wawekezaji wapya na umma wa watanzania ikizingatiwa kuwa kwa mara ya mwisho DCB ilitoa fursa kama hiyo mwaka 2012.

Baadhi ya wafanyakazi wa DCB na waalikwa wengine wakihudhuria halfla hiyo jijini Dar es Salaam jana.

Rais Mstaafu wa Awamu ya tatu, Benjamin William Mkapa (kulia), akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Prof. Lucian Msambichaka ofisini kwake Dar es Salaam jana wakati akinunua hisa za benki hiyo muda mfupi baada ya DCB kuzindua zoezi la uuzaji wa hisa kwa mwaka 2018. Kushoto ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa DCB, Rahma Ngassa na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Godfrey Ndalahwa.
Mwwenyekiti wa Bodi DCB, Prof. Lucian Msambichaka (katikati), akipozi kwa picha ya kumbukumbu na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo na waalikwa wengine baada ya tukio la uzinduzi wa uuzaji wa hisa za benki hiyo jijini Dar es Salaam jana. 



Share:

Thursday, November 8, 2018

CBA BANK NA VODACOM WAZINDUA PROMOSHENI YA SHINDA NA M-PAWA

IMG_9785
Meneja Masoko wa Vodacom, Noel Mazoya  (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Uzinduzi rasmi wa Promosheni iliyopewa jina la Shinda na  M-PAWA. Watatu (wapilikulia) Mkurugenzi  Idara  Wateja binafsi na Masoko wa Benki ya Biashara Afrika CBA Julius Konyani ambae amemuwakilisha Mkurugenzi  Mkuu wa Benki hiyo,   Wengine  ni Mwakilishi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha  Jehud Ngolo pamoja na Sophet Mafuru kutoka SMSRTCODES LTD hafla hiyo imefanyika leo kwenye ofisi za benki hiyo jijini Dar es Salaam.
01
Mkurugenzi  Idara  Wateja binafsi na Masoko wa Benki ya Biashara Afrika CBA Julius Konyani, wa pili (kushoto) akibonyesha kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa Promosheni iliyopewa jina la Shinda na  M-PAWA.  akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Uzinduzi rasmi wa Promosheni iliyopewa jina la Shinda na  M-PAWA.  Kushoto ni Meneja Masoko wa Vodacom, wengine ni maofisa wa benki hiyo na mwakilishi kutoka Bodi ya Michezo ya kubahatisha.

Benki ya CBA na Vodacom kwa mara nyingine wamewaletea Watanzania na wateja wake  promosheni kubwa ya mwaka inayojulikana kama Shinda na M-PAWA. Promosheni hii itaibua washindi 200 kila wiki watakao ongezewa mara mbili ya akiba zao pia kutakuwa na washindi 15 watakaoweza kurudisha mkopo kabla ya siku thelathini kujinyakulia shilingi 100,000/= kila wiki. Zawadi kubwa zitakazotolewa kwenye droo kubwa wiki ya sita zitakua ni kitita cha Milioni 10 taslimu na Bajaj tano.
Zaidi ya washindi 1300 watajinyakulia zawadi mbali mbali (za kifedha na Bajaji) ambazo zote kwa ujumla zitakuwa na thamani ya zaidi ya shilingi milioni 100. 

Promosheni hii inaonyesha jitihada za CBA Bank na Vodacom kuleta muamko wa kifedha na kuhimiza Watanzania kuwa na tabia ya kuweka akiba. Akizungumza wakati wa uzinduzi kutoa zawadi kwa washindi wa droo ya kwanza Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa CBA Julius Konyani alisema “M-PAWA ni bidhaa inayoendelea kuleta mapinduzi ya kimaendeleo kwa  Watanzania hasa wale wamiliki wa biashara ndogo wanaoweka akiba na na kupata riba na Pia kupata mikopo inayowasaidia katika kuendeleza na kukuza biashara zao”.
Promosheni hii ya Shinda na M-PAWA itaendeshwa kwa muda wa wiki sita kuanzia Novemba 2018 hadi nusu ya Desemba 2018.

Meneja Masoko wa Vodacom Huduma za kifedha Noel Mazoya alisema “Wateja watakaoomba mkopo na kurudisha mapema watakuwa na nafasi ya kuopoa zawadi ya shilingi 100,000 kwa wateja 15 kila wiki na Jumla ya wateja 96 watashinda kwa wiki sita. Tunajenga utamaduni wa kuhimiza Watanzania kuchukua mikopo ili kuwawezesha kukuza biashara zao. Hata hivyo hatuwahimizi tu wateja wakope, lakini pia kurudisha mikopo mapema. Hii itawapa wateja fursa ya kuomba tena mkopo na kuongeza kiwango wanachoweza kukopa” alisema haya wakati wa tukio la droo ya kwanza lililoshuhudiwa na Bodi ya bahati nasibu Tanzania pamoja na watendaji wengine wa CBA.
Mpawa ni Huduma inayotolewa kwa ushirikiano wa Bank ya CBA na Vodacom, Huduma hii inawewezesha wateja kuweka fedha kwenye Mpawa na Kupata Riba/faida. CBA imekuwa mmojawapo ya benki inayowekeza nchini ambapo kuptia huduma hii imefanikiwa kuwafikia wateja zaidi ya milioni saba, wakiwa ni wateja wadogowadogo ambao wanahifadhi kiwango cha kati ya shilingi 1000/= na 3000/=. Viwango ambavyo mfumo wa kibenki wa kisasa usingeweza kuwahudumia, Huduma hii ya mpawa imeifikia jamii kubwa ambayo haipo kwenye mfumo rasmi wa kifedha (Financial Inclusions). CBA Bank na Vodacom zitaendelea kuwekeza nchini na wanatoa wito kwa wateja wote wa Vodacom/Mpesa kuweka hela zao katika kibubu chao cha mpawa ambacho ni salama na benki yao mkononi mwao, Pia wanaweza kukopa kiwango chochote kati ya shilingi 1000 mpaka laki tano.
Share:

KAMPUNI YA VISA WASHIRIKIANA NA HALOTEL KULETA MALIPO YA QR KWA WATUMIAJI WA HALOPESA

Wateja milioni 1 na wakala 40,000 kupata huduma ya malipo ya  Visa kupitia Halopesa.

Kampuni ya Teknolojia ya malipo ya kimataifa ya VISA imetangaza ushirikiano wa mkakati na Halotel ili kuwezesha malipo ya Visa kwenye simu kwa kutuma codi ya QR kwa wateja wa Halotel nchini Tanzania.

Huduma hiyo itakayotolewa mwanzoni mwa mwaka 2019 na hivyo kuwezesha wateja zaidi ya milioni moja  wa HaloPesa kutumia Visa kwenye simu ili waweze kufanya malipo ya biashara kwa salama na kuweka na kutoa fedha kwa  mawakala wa Visa.Mteja yoyote wa HaloPesa, ikiwa ni pamoja na wale ambao hawana akaunti ya benki, wataweza kufaidika na huduma hii.

Lengo la huduma hii ni kuunganisha Watanzania zaidi kwenye mfumo wa malipo ya kimataifa, kuleta huduma ya malipo ya Visa ya usalama na urahisi kwa watumiaji na wafanyabiashara.

"Tunafurahia ushirikiano huu na mojawapo wa kampuni maarufu ya simu ya Halotel. Ushirikiano wetu na Halotel utahakikisha kuwa Watanzania wanaweza kufanaya malipo ya QR  kwa kutumia Visa kwenye simu zao kwa wauzaji  na wafanyabiashara zaidi ya 40,000. Pia itasaidia kuongeza ushirikishaji wa kifedha kwa watumiaji ambao sasa wataweza kufaidika na kushiriki katika mfumo wa eco Visa ", alisema Meneja Mkuu wa Visa wa Afrika Mashariki, Kevin Langley.

Halotel ni  kampuni ya  simu inayokua kwa haraka zaidi nchini Tanzania ambayo ilianzishwa mwaka 2015. Ndani ya miaka 3, Halotel imepata wateja zaidi ya  milioni 4 na ambao zaidi ya milioni 1 wanatumia huduma ya Halopesa. Pia kampuni inao wakala 40,000 kote nchini.

"Tunajivunia kushirikiana na Visa katika mpango huu. Kwa ushirikiano huu, tutaweza kuwa na uwezo wa kuletea wateja wetu huduma za kimataifa za malipo za Visa na kuwawezesha wateja wetu kulipia na kulipwa kwa urahisi zaidi. "Alisema Mkurugenzi Naibu Mkurugenzi wa Halotel Nguyen Van Son.

Kupitia ushirikiano, HaloPesa itawapa watumiaji fursa ya kufanya malipo kutumia codi ya QR ya Visa hapa Tanzania na kote duniani.

Visa kwenye simu huwawezesha watumiaji kupata fedha zao moja kwa moja kutoka kwa akaunti zao za benki kupitia programu zao za benki za simu za kulipa wafanyabiashara, kutuma fedha kwa watu binafsi bila malipo, pamoja na kuhifadhi, au kutoa fedha kwa wakala wote wa Visa.

Wafanyabiashara waliojiandikisha watapata msimbo wa kipekee wa QR na Nambari ya biashara ambayo wateja wanaweza soma kwa kutumia simu ya android au smartphone na kwa watumiaji wa simu ambazo sio android, watatumia namba ya USSD  kufanya malipo. Fedha zinahamia moja kwa moja kutoka kwa akaunti ya benki ya mteja na kuenda  kwenye akaunti ya mfanyabiashara na hutoa taarifa ya muda halisi kwa pande zote mbili.

Wakala wa benki waliojiandikisha pia watapokea msimbo wa QR na Nambari ya Nyongeza ambazo watumiaji wanaweza kusoma kwa kutumia  simu ya android au smartphone na kwa watumiaji wa simu ambazo sio android, watatumia namba ya USSD ili kuweka au kutoa fedha kwa akaunti za benki zilizowezeshwa.

Kampuni ys Visa imejitolea kuimarsha na kupanua soko la  malipo ya simu kote duniani na ushirikiana huu ni mojawapo ya mipango ya Visa katika kutelekeza hili.
Share:

Tuesday, November 6, 2018

Barclays Bank Tanzania launches Superfans Campaign in a style

01
Barclays Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed (left) passes the ball to former Arsenal footballer, Robert Pires during the official launch of  BBT Superfans United campaign in Dar es Salaam last weekend. Designed for bank’s customers, one needs to opens a current account or swipe card frequently during the campaign period in order to  win a trip to the UK to watch English Premium League live.
02
Former Arsenal footballer, Robert Pires (right), poses for a photograph with Barclays Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed shortly after launching  the BBT Superfans United campaign in Dar es Salaam on Friday. Designed for bank’s customers, one needs to opens a current account or swipe card frequently during the campaign period in order to win a trip to the UK to watch English Premium League live
03
Barclays Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed (left), addresses bank’s customers and other guests during the official launch of Superfans campaign in Dar es Salaam.
04

Former Arsenal footballer, Robert Pires (left), respond questions from the audience.
05

One of invited guest asks a question to the Arsenal legend, Robert Pires. Second right is Barclays Bank Tanzania MD, Abdi Mohamed.
06

Former Arsenal footballer, Robert Pires (right), autograph a t-shirt of one Arsenal fan   during a function organized by Barclays Bank Tanzania in Dar es Salaam.
07

Former Arsenal footballer, Robert Pires (right), autograph a t-shirt of Arsenal supporter during a function organized by Barclays Bank Tanzania in Dar es Salaam.
08

Former Arsenal footballer, Robert Pires (centre), poses for a souvenir picture with some of EPL fans in Tanzania  during the function.
09
Former Arsenal footballer, Robert Pires (second left), poses for a memento photograph with Barclays Bank Tanzania senior officials  after the official launch of Barclay’s Superfans campaign. From left; Marketing Manager, Joe Bendera, Head of Marketing and Corporate Relations, Aron Luhanga and Managing Director, Abdi Mohamed. 
Share:

Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive