A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Saturday, February 3, 2018

WATEJA WA ZANTEL WAZIDI KUNUFAIKA NA JERO YAKO

Mmoja wa washindi  wa droo ya wiki ya promosheni ya ‘Jero yako tu’ ya kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Mwinjuma Mdoe (kushoto), akipokea zawadi ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka Zantel kutoka kwa Mtaalamu wa Data na Masoko wa Zantel, Hamid Mohamed jijini Dar es Salaam jana. Mteja wa Zantel akiongeza muda wa maongezi kuanzia shs mia tano hujipatia nafasi kushiriki na kujishindia Zawadi za pikipiki, baiskeli, simu na pesa taslimu. Katikati ni Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Bi. Rukia Mtingwa.
Mmoja wa washindi  wa droo ya wiki ya promosheni ya ‘Jero yako tu’ ya kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Mohamed Salum (kushoto), akipokea zawadi ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka Zantel kutoka kwa Mtaalamu wa Data na Masoko wa Zantel, Hamid Mohamed jijini Dar es Salaam jana. Mteja wa Zantel akiongeza muda wa maongezi kuanzia shs mia tano hujipatia nafasi kushiriki na kujishindia Zawadi za pikipiki, baiskeli, simu na pesa taslimu. Katikati ni Meneja Masoko wa kampuni hiyo, Bi. Rukia Mtingwa.
 Mmoja wa washindi  wa droo ya wiki ya promosheni ya ‘Jero yako tu’ ya kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Mohamed Salum (kushoto), akionyesha kwa waandishi wa habari zawadi yake  ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka Zantel aliyojishindia mara baada ya kukabidhiwa na Mtaalamu wa Data na Masoko wa Zantel, Hamid Mohamed (kulia) jijini Dar es Salaam jana. Mteja wa Zantel  akiongeza muda wa maongezi kuanzia shs mia tano hujipatia nafasi kushiriki na kujishindia Zawadi za pikipiki, baiskeli, simu na pesa taslimu.
 Mmoja wa washindi  wa droo ya wiki ya promosheni ya ‘Jero yako tu’ ya kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, Mwinjuma Mdoe akionyesha kwa waandishi wa habari zawadi yake  ya simu ya kisasa aina ya Moto C 4G toka Zantel aliyojishindia. Mteja wa Zantel  akiongeza muda wa maongezi kuanzia shs mia tano hujipatia nafasi kushiriki na kujishindia Zawadi za pikipiki, baiskeli, simu na pesa taslimu.
 Meneja Masoko wa Zantel Tanzania, Bi. Rukia Mtingwa, Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Abdallah Hemedy (kushoto) na Mtaalam wa Data na Masoko wa Zantel, Hamid Mohamed, wakichezesha droo ya wiki ya promosheni ya ‘Jero yako tu’ ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana. Mteja wa Zantel akiongeza muda wa maongezi kuanzia shs mia tano hujipatia nafasi kushiriki na kujishindia Zawadi za pikipiki, baiskeli, simu na pesa taslimu
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive