Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanga
Cement (TCPLC), Reinhardt Swart (kulia), akikabidhi msaada wa mifuko
3500 ya Saruji yenye thamani ya shs 46,462,500 kwa Waziri wa Mambo ya Ndani,
Mwigulu Nchemba kusaidia uboreshaji wa sekta ya afya na elimu katika
halmashauri ya Iramba mkoani Singida. Hafla hiyo ilifanyika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga jana. Wengine ni maofisa wa
kampuni hiyo pamoja na viongozi wa halmashauri.
Meneja
Mahusiano na Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Bi. Mtanga
Noor (kushoto) akizungumza katika hafla ambayo Mkurugenzi Mtendaji wa TCPLC,
Reinhardt Swart (kulia), alikabidhi msaada wa mifuko 3500 ya saruji
yenye thamani ya shs milioni 46,462,500 kwa Waziri wa Ndani, Mwigulu Nchemba
(wa pili kulia), kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana katika Shule 22 za
kata ya halmashauri ya Iramba mkoani singida. Makabidhiano
yalifanyika eneo la kiwanda, Pongwe, Tanga jana. Wengine ni maofisa wa kampuni hiyo pamoja na viongozi wa halmashauri.
Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC), Diana
Malambugi (kulia), akikabidhi msaada
wa mifuko 3500 ya Saruji yenye thamani ya shs 46,462,500 kwa Waziri
wa Mambo ya Ndani, Mwiguru Nchemba kusaidia uboreshaji wa sekta ya
afya na elimu katika halmashauri ya Iramba mkoani Singida. Hafla hiyo ilifanyika
enel la kiwanda, Pongwe, Tanga jana. Wengine kutoka kushoto ni Meneja Mahusiano na Mawasiliano
ya Nje wa kampuni hiyo, Bi. Mtanga Noor,
Meneja Kiwanda Mhandisi Ben Leman a Mkurugenzi
Mtendaji, Reinhardt Swart.
Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Tanga
Cement (TCPLC), Mhandisi Ben Lema (kushoto), akifafanua jambo
kwa Waziri wa
Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba (katikati), alipokwenda kupokea msaada wa mifuko 3500 ya saruji yenye thamani ya shs milioni
46,462,500 iliyokabidhiwa kwake na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Reinhardt Swart (kushoto kwa waziri), kusaidia ujenzi wa hosteli ya
wasichana katika shule 22 za kata ya halmashauri ya
Iramba mkoani singida.
Waziri wa Mambo ya Nchi, Mwigulu
Nchemba (wa pili kulia), akizungumza baada ya kupokea msaada wa mifuko 3500 ya
saruji yenta thamani ya shs 46,462,500
kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tanga Cement (TCPLC) , Reinhardt Swart
(kulia), iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa hosteli ya wasichana
katika shule 22 za kata ya Halmashauri ya Iramba mkoani singida.
Wengine ni maofisa wa kampuni hiyo
pamoja na viongozi wa halmashauri.
0 comments:
Post a Comment