Mkurugenzi Idara Wateja binafsi na Masoko wa Benki ya Biashara Afrika (CBA) Julius Konyani (kushoto), akimkabidhi Mshindi wa Bajaji katika promosheni ya Shinda na M-PAWA Bi.Mariam Balawa mkazi wa Kibamba jijini Dar es Salaam, ambapo washindi...
Tuesday, December 18, 2018
Sunday, December 16, 2018
CHAMA CHA WAAJIRI ATE CHATOA TUZO ZA WAAJIRI BORA

Mwenyekiti wa Chama cha Waajiri Tanzania
(ATE), Bi. Jane Nyimbo akizungumza na waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa katika hafla
ya kutoa Tuzo ya Mwajiri Bora wa Mwaka 2018 iliyoandaliwa na chama hicho
katika ukumbi wa Mlimani City, tarehe 14 Disemba. Hafla hiyo...
NBC yatoa elimu ya kifedha kwa mama na baba lishe soko la feri
Mkurugenzi wa wateja wadogo wa Benki ya NBC, Andrew Lyimo (wa pili kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Malalamiko, Sarah Laiser (kushoto), na Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Alina Maria Kimaryo wakikabidhi msaada wa vifaa vya kufanyia usafi kwa Mtendaji wa Soko la Samaki la...
Friday, December 14, 2018
Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Singida imetupilia mbali kesi ya rushwa iliyokuwa ikimkabili mfanyabiashara, Haidar Hussein Gulamali.

Uamuzi huo umetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Consolata Singano ambapo amesema amezingatia ushahidi wa mashahidi 9 wa upande wa jamuhuri waliofika mahakamani hapo.
Katika uamuzi huo, Hakimu Singano amesema hakuna ushahidi unaomgusa Gulamali moja kwa moja.
Katika...
Thursday, December 13, 2018
Watanzania washauriwa kutumia huduma za kibenki za kidijitali
Meneja Masoko na Mawailiano wa Benki ya Barclays Tanzania, Joe Bendera (kushoto), akikabidhi zawadi ya flat screen televisheni ya ukubwa wa inchi 40 kwa mshindi wa kampeni ya’fanya miamala ushinde’ ya benki hiyo, Darius Tebuka, jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kutoka kushoto...
BENKI YA CBA NA VODACOM WATANGAZA MSHINDI MKUU WA KAMPENI YA M-PAWA NA WASHINDI WENGINE WATANO WALIOJISHINDIA BAJAJI KILA MMOJA.
Mkurugenzi Idara Usajili wa hazina wa Benki ya Biashara Afrika CBA Hakim Sheikh (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kuchezesha droo ya mwisho ya Promosheni iliyokuwa inakwenda kwa jina la Shinda na M-PAWA. ...
Wednesday, December 12, 2018
VODACOM TANZANIA PLC YAWATUNUKU WATUMIAJI WA MTANDAO BOMBA POINTI ZA TUZO ZENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 1
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (katikati) akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam juu ya kuwatunuku watumiaji wa mtandao wa Vodacom, points za Tuzo zenye thamani ya shilingi bilioni 1 katika kipindi hiki cha msimu...
Tuesday, December 11, 2018
Benki ya Biashara ya DCB Yang’ara Tuzo za NBAA

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji (wa tatu kushoto) akikabidhi tuzo ya ushindi wa pili katika kitengo cha benki ndogo na za kati katika tuzo za Mwasilishi Bora wa Hesabu za Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Mahesabu (NBAA) kwa mwaka 2017 kwa Mkurugenzi...
Wednesday, December 5, 2018
NBC WAJIBIKA PROGRAMME ON THE MOVE!
James Mwang’amba (right) NBC Wajibika Youth Employability Programme coordinator describes the advantages of Wajibika programme to students from St. Joseph’s University at the university’s premises in Dar es Salaam recently. NBC Wajibika Youth Employability Programme is a program...
Tuesday, December 4, 2018
Experts meet in Dar to discus food safety concerns in Africa

African food experts, researchers and stakeholders will meet in Dar es Salaam today to discuss challenges and concerns related to food safety, food borne diseases and chart out strategies on the best ways to improve food safety, nutrition and security for millions of...
Monday, December 3, 2018
NBC kufanya maboresho makubwa ya huduma na biadhaa zake
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi akielezea
mpango mkakati wa miaka mitano ya benki hiyo wenye lengo la kuboresha
kwa kiwango kikubwa huduma za benki hiyo kwenye mkutano na waandishi wa habari
jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki...
Thursday, November 29, 2018
KCB BANK TANZANIA HOLDS BIASHARA CLUB WORKSHOP FOR ITS SME CUSTOMERS.
Head of SME and Mortgage of KCB Bank Mr. Abdul Juma, speaks with Mwanza business owners and executives during the KCB Bank Biashara Club Workshop held at Gold Crest Hotel in Mwanza on 29th November 2018. The event attended by more...