Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Singida Jerry Muro akiongoza kikao cha kuratibu zoezi la Kitaifa la chanjo ya polio kilichofanyika mkoani Singida jana. Kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Winfrida Funto na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ally Mwanga. Kaimu...
Tuesday, April 26, 2022
Sunday, April 24, 2022
TANZANIA COMMERCIAL BANK SPONSORS FOR FREE HEALTH TESTING DAR ES SALAM

Tanzania Commercial Bank Bank Manager Edward Mwoleka (center), undergoing a blood test by Alliance Insurance Specialist Ravi Kumar, while Tanzania Commercial Bank teamed up with Alliance insurance to provide free diagnostic tests to the residents of Mbagala and its suburbs for...
Saturday, April 23, 2022
Absa Bank pledges to maintain quality services for sustainable growth

Absa Bank Tanzania Head of Retail Banking, Ndabu Lilian Swere speaking to the media about the iftar meal hosted by Absa to its Zanzibar customers and stakeholders in the Isle yesterday.Absa Bank Tanzania Head of Business Banking, Melvin Saprapasen (right), serves an Iftar meal...
Friday, April 22, 2022
WANANCHI IKUNGI WAHIMIZWA KUTUNZA CHAKULA ILI KUJIKIGA NA BAA LA NJAA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ikungi Mika Likapakapa akiwahutubia Wananchi wa Kijiji cha Mwisi Kata ya Lighwa katika mkutano wa hadhara wa kuzungumzia maendeleo na kupokea kero za wananchi ili zifanyiwe kazi ulioandaliwa na Diwani wa Kata...
Thursday, April 21, 2022
AKIBA COMMERCIAL BANK YAFUTURISHA WATEJA WAKE DAR ES SALAM

Mkurugenzi Mtendaji wa Akiba Commercial Bank Plc Silvest Arumas
akizungumza wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo ikiwa
ni sehemu ya jitihada za benki hiyo katika kuwajali wateja wake Baadhi
ya wageni waalikwa wakifuturu katika hafla iliyoandaliwa...
Wednesday, April 20, 2022
BENKI YA ABC YATOA VIFAA VYENYE THAMANI YA ZAIDI YA MILIONI 2 KUSAIDIA UJENZI WA CHOO CHA WAALIMU SHULE YA MSINGI MTAWALA MANISPAA YA MOROGORO.
Meneja
BANC ABC-Kanda ya Morogoro , Raphael Kalinga,(katikati), akikabidhi
vifaa vya ujenzi wa Choo kwa Afisa Elimu Msingi Manispaa ya Morogoro,
Chausiku masegenya (wapili kutoka kulia), kulia Diwani wa Viti Maalum
Mhe. Hadija Kibati.Meneja BANC ABC-Kanda ya Morogoro...
Wednesday, April 13, 2022
TANZANIA COMMERCIAL BANK YASHIRIKIANA NA TRC KUZINDUA UJENZI WA RELI TABORA

Afisa Mtendaji Mkuu wa Tanzania Commercial Bank, Nd Sabasaba Moshingi akiweka udongo kwenye jiwe la msingi wakati wa hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha nne (SGR) kinachotoka Tabora hadi Makutupora, Mkoani Dodoma iliyofanyika Cheyo...