Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja wa NIC Yassaya Mwakifulefule (kushoto) na Mkurugenzi UDSM Marathon Dk.Lulu Kaaya wakibadilishana hati za Makubaliano kwa ajili ya UDSM marathon.Mkurugenzi wa Masoko na Huduma kwa Wateja wa NIC Yassaya Mwakifulefule (kushoto) na...
Tuesday, November 30, 2021
EPUKENI VITENDO VYA RUSHWA NA WIZI WA DAWA
Na. WAMJW – Dar es Salaam | Wafamasia nchini wametakiwa kusimamia miiko na maadili ya taaluma yao katika vituo vyao vya kazi na kuepuka vitendo viovu ikiwemo wizi wa dawa na ulaji rushwa.Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa Brig. Jen....
RC MAKALLA AIPA MAMBO MATANO TMDA KUDHIBITI WIZI WA DAWA NA DAWA BANDIA

Awataka Kudhibiti Wizi wa Dawa za Serikali na kutokomeza Dawa Bandia.Asisitiza kufanyika kwa ziara za kustukiza kwenye Maduka ya dawa ili kudhibiti wezi wa dawa Na dawa bandia. Ataka "vishoka" ambao ni wakaguzi feki kukomeshwa.Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos...
MNUFAIKA WA TASAF RUNDUGAI ASOMESHA MTOTO CHUO CHA USAFIRISHAJI (NIT)

Mwanaasha Mtei ambaye ni mnufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea katika kijiji cha Rundugai Wilayani Hai kujionea manufaa waliojipatia wanufaika wa mradi huo leo mkoani Kilimanjaro.Mwanaasha Mtei ambaye ni mnufaika...
COCA-COLA YAZINDUA KAMPENI YA 'MAAJABU HALISI' KWA MARA YA KWANZA NCHINI TANZANIA

Meneja Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo (kushoto) akizungumzia juu ya uzinduzi wa kampeni mpya ya ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ nchini Tanzania uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Akifuatilia kwa...
DC IKUNGI AOMBA KUMUOMBEA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Afisa Mtendaji wa Kata ya Dung'unyi Yahaya Njiku (katikati) akikata utepe kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Jerry Muro, kuashiria uzinduzi wa Album ya Kwaya ya Malezi ya Vijana Usharika wa Emanueli Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kati Singida...
MSTAHIKI MEYA JIJI LA ARUSHA MGENI RASMI KONGAMANO LA FURSA SEKTA YA MUZIKI

Mstahiki Meya wa jiji la Arusha Maximillian Iranghe.Katibu Mkuu wa TAMUFO Stella Joel.Mlezi wa TAMUFO Dkt. Frank Richard.Mkurugenzi wa Makumbusho ya Elimu Viumbe Arusha Dkt. Christina Ngereza.Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Lake Manyara Dkt.Noelia Myonga.Mdau wa maendeleo...
I&M BANK LAUNCHES A NEW RELOCATED BRANCH IN ARUSHA
The Arusha Regional Commissioner, John Mongella unveils the new I&M Bank relocated branch in Arusha yesterday. Behind him, is the Bank Chief Executive officer, Mr. Baseer Mohammed and the Retail Banking Manager, Ms. Lilian Mtali. The branch will provide a range of...
MAMILIONI YA WATU WAISHIO VIJIJINI WANUFAIKA NA UWEKEZAJI WA SBL KWENYE MAJI SAFI NA SALAMA
Upatikanaji wa maji umekuwa mwiba kwa baadhi ya maeneo ya nchi, ambapo watu hupita siku kadhaa bila kuyapata huku wengine wakikabiliwa na mgao. Halikadhalika, Serikali imeshatoa hali ya tahadhari kwa watumiaji huku Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasa)...
ABSA FINANCIER OF CONSUMER CHOICE AWARDS AFRICA
Deputy Minister for Minerals, Prof. Shukrani Elisha Manya (left), presents a certificate of appreciation to Absa Bank Tanzania Citizenship Manager, Hellen Siria, in recognition of the financial transnational's support in the Consumer Choice Awards Africa 2021, during the...
Monday, November 29, 2021
TANZANIA YAPATA FURSA YA KUSAFIRISHA PARACHICHI KWENDA INDIA

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo Prof. Siza Tumbo (wa katikati upande wa kulia) leo ameongoza timu ya wizara katika mazungumzo ya awali kuhusu rasimu ya makubaliano (MoU) kati ya Tanzania na India kuhusu fursa ya kuuza mazao ya jamii ya mikunde kama vile mbaazi kwenye...