A blog that gives out financial institutions news on time with accurate informations.


Thursday, August 27, 2020

Benki ya DCB yamtembelea Mama Mkapa na kumpa mkono wa pole

Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, marehemu Benjamin Mkapa, Mama Anna Mkapa (kulia), akipokea nishani yenye ujumbe wa maneno ya Rais Mkapa kuhusu uanzishwaji wa benki ya Biashara ya DCB kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Benki hiyo, Zawadia Nanyaro wakati yeye, Mkurugenzi Mtendaji, Godfrey Ndalahwa (katikati) pamoja na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Rahma Ngassa, walipofika nyumbani kwake kumpa mkono wa pole kutokana na msiba alioupata. Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwa Mkapa, Masaki, Dar es Salaam leo.
Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, marehemu Benjamin Mkapa, Mama Anna Mkapa (kulia), akipokea rambirambi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa walipofika nyumbani kwake kumpa mkono wa pole kutokana na msiba alioupata. Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwa Mkapa, Masaki,Dar es Salaam leo. Wa pili kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya Benki hiyo, Zawadia Nanyaro pamoja na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Rahma Ngassa.
Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, marehemu Benjamin Mkapa, Mama Anna Mkapa (kulia), akishikana mikono na Mjumbe wa Bodi ya Benki ya Biashara ya DCB, Zawadia Nanyaro akiushukuru ujumbe wa benki hiyo uliofika nyumbani kwake kumpa mkono wa pole kutokana na kuondokewa na marehemu Mkapa. Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwa Mkapa, Masaki,Dar es Salaam leo. Wa pili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Godfrey Ndalahwa pamoja na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Rahma Ngassa.
Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, marehemu Benjamin Mkapa, Mama Anna Mkapa (kulia), akishikana mikono na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Biashara ya DCB, Rahma Ngassa, baada ya kupokea nishani yenye ujumbe wa maneno ya Rais Mkapa kuhusu uanzishwaji wa benki hiyo walipofika nyumbani kwake kumpa mkono wa pole kutokana na msiba alioupata. Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwa Mkapa, Masaki, Dar es Salaam leo. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Godfrey Ndalahwa pamoja na Mjumbe wa Bodi, Zawadia Nanyaro.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (kushoto) akizungumza na Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, marehemu Benjamin Mkapa, Mama Anna Mkapa (kulia), walipofika nyumbani kwake kumpa mkono wa pole kutokana na msiba alioupata. Hafla hiyo ilifanyika nyumbani kwa Mkapa, Masaki, Dar es Salaam leo. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo, Rahma Ngassa pamoja na Mjumbe wa Bodi ya DCB, Zawadia Nanyaro.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara ya DCB, Godfrey Ndalahwa (wa pili kushoto), Mjumbe wa Bodi, Zawadia Nanyaro na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki hiyo, Rahma Ngassa (kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, marehemu Benjamin Mkapa, Mama Anna Mkapa walipomtembelea kumpa mkono wa pole nyumbani kwake, Masaki, Dar es Salaam leo.
Share:

0 comments:

Post a Comment


Propellerads

Search Brazuka Kibenki

FOLLOW US ON FACEBOOK

  • ()
  • ()
Show more

Labels

Blog Archive